Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
na mwende mnapo amrishwa.
go to a place where you are commanded'
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yeye na malaika wake ndio wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru.
he it is who sends salat (his blessings) on you, and his angels too (ask allah to bless and forgive you), that he may bring you out from darkness (of disbelief and polytheism) into light (of belief and islamic monotheism).
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yeye na malaika wake ndio wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. naye ni mwenye kuwarehemu waumini.
he it is who blesseth you, and his angels (bless you), that he may bring you forth from darkness unto light; and he is ever merciful to the believers.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
lakini wale wenye busara wakawaambia, hayatatutosha sisi na ninyi! afadhali mwende dukani mkajinunulie wenyewe!
but the wise answered, saying, not so; lest there be not enough for us and you: but go ye rather to them that sell, and buy for yourselves.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
akasem: kwa hakika inanihuzunisha kwamba nyinyi mwende naye, na ninaogopa asije mbwa mwitu akamla nanyi mmeghafilika naye.
(jacob) said: "really it saddens me that ye should take him away: i fear lest the wolf should devour him while ye attend not to him."
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
basi ondoka na ahli zako usiku ungalipo, nawe ufuate nyuma yao, wala yeyote kati yenu asigeuke nyuma. na mwende mnapo amrishwa.
"so leave with your family late in the night, yourself remaining in the rear, and let none turn back to look, and go where you will be commanded."
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
ninyi hamkunichagua mimi; mimi niliwachagueni na kuwatuma mwende mkazae matunda, matunda yadumuyo, naye baba apate kuwapa ninyi chochote mumwombacho kwa jina langu.
ye have not chosen me, but i have chosen you, and ordained you, that ye should go and bring forth fruit, and that your fruit should remain: that whatsoever ye shall ask of the father in my name, he may give it you.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
http://humansofkibera.tumblr.com/post/125438961470/eunice-mwende-i-like-this-new-legal-power
http://humansofkibera.tumblr.com/post/125438961470/eunice-mwende-i-like-this-new-legal-power
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: