Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
lakini yule ambaye mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza.
but he, whom god raised again, saw no corruption.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kuoza watoto wao huonyesha mwendelezo wa maisha ya kijamii na thamani ya familia kwenye jamii.
marrying off sons and daughters symbolizes the continuation of community life and the supremacy of the family in society.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na hivyo tunatazamia kupata baraka zile ambazo mungu aliwawekea watu wake. mungu amewawekeeni baraka hizo mbinguni ambako haziwezi kuoza au kuharibika au kufifia.
to an inheritance incorruptible, and undefiled, and that fadeth not away, reserved in heaven for you,
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na juu ya kumfufua kutoka wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, mungu alisema hivi: nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia daudi.
and as concerning that he raised him up from the dead, now no more to return to corruption, he said on this wise, i will give you the sure mercies of david.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: