Results for actively translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

actively

Swahili

yani

Last Update: 2011-05-02
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hedy epstein has been actively raising awareness about the march.

Swahili

hedy epstein amekuwa akielimisha na kuoneza utambuzi kuhusu maandamano hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many came from lumad communities which have actively resisted the entry of mining companies.

Swahili

wengi wao walikuwa watu wa jamii ya lumad ambao walipinga vikali uvamizi wa makampuni ya uchimbaji madini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

there is no available vaccine, but various agencies are actively developing vaccine candidates.

Swahili

hakuna chanjo inayopatikana, lakini mashirika anuwai yanakuza chanjo mbalimbali.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hipster, a sudanese blogger living in the uae, is now also back actively blogging again.

Swahili

hipster, mwanablogu wa kisudani anayeishi uae, pia amerejea na anablogu tena.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

moroccan obama fans are still actively campaigning for president obama to give his first foreign speech in rabat.

Swahili

washabiki wa kimoroko wa obama bado wanaendelea kupiga kampeni ya kumtaka rais obama atoe hotuba yake ya kwanza nje ya nchi nchini moroko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but what happened to social media platforms that actively reported on the plane crash in perm in september 2008?

Swahili

je nini kilichoyatokea majukwaa ya uanahabari wa kijamii ambayo yalitaarifu vilivyo kuhusu ajali ya ndege mjini perm mwezi septemba 2008.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

since august 2006, when radio zamaneh started, we have actively promoted bloggers on our site and in our radio programs.

Swahili

kuanzia mwezi wa agosti 2006, wakati redio zamaneh ilipoanzishwa, tumewahusisha na kuwatangaza mabloga katika tovuti yetu na katika programu za redio yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

cambodian netizens are actively using facebook to discuss, debate, and share updates about the july 28 national assembly elections.

Swahili

watumiaji wa mtandao wa intaneti nchini kambodia wanatumia mtandao wa facebook kwa kiwango kikubwa katika kujadili, kuendesha midahalo na kushirikishana mambo mapya yanayohusu chaguzi za kitaifa zinazotarajiwa kufanyika tarehe 28 julai, 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"the military has been actively recruiting muslims with the linguistic skills and cultural understanding needed to fight the wars in iraq and afghanistan.

Swahili

“jeshi limekuwa likiandikisha waislamu walio na ujuzi wa lugha na welewa wa utamaduni, vitu vinavyohitajika ili kupigana vita huko iraki na afganistani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

yet we see so often that environmental impact assessments just make sure that companies meet the bare minimum rather than actively going out of their way to protect the land and environment that belongs to all of us.

Swahili

lakini bado tunaona mara nyingi tathmini za athari za mazingira zinahakikisha kuwa makampuni yanafikia angalau kiwango cha chini kabisa cha utunzaji wa mazingira na sio kuhakikisha kuwa yanatunza mazingira na ardhi tunayoimiliki sote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

biogas sector partnership nepal (bsp-nepal) is an ngo that is actively working for the promotion of biogas in the country.

Swahili

sekta ya ubia wa gesi inayotokana na samadi nchini nepal (bsp-nepal) ni asasi isyo ya kiserikali ambayo inafanya kazi kwa ajili ya kuitangaza gesi hiyo nchini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in the 1980s, foodborne outbreaks and healthcare-associated infections led the united states centers for disease control and prevention to more actively promote hand hygiene as an important way to prevent the spread of infection.

Swahili

mnamo muda wa 1980, mikurupuko iliyosababishwa kupitia vyakula na maambukizi yaliyohusiana na huduma za afya ilifanya kituo cha uthibiti na uzuiaji wa magonjwa ya marekani kuendeleza kikamilifu usafi wa mikono kama njia muhimu ya kuzuia kuenea kwa maambukizi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the type of respiratory support for individuals with covid-19 related respiratory failure is being actively studied for people in hospital, with some evidence that intubation can be avoided with a high flow nasal cannula or bi-level positive airway pressure.

Swahili

aina ya kisaidizi cha kupumua kwa watu wenye matatizo ya kupumua yanayohusiana na covid-19 inafanyiwa utafiti kwa watu hospitalini, na ushahidi fulani kwamba kuweka neli inaweza kuepukwa na kifaa cha kuingiza hewa kwa kiwango cha juu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,744,207,684 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK