From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
on 15 february, the united states announced that it would evacuate americans aboard the cruise ship diamond princess.
mnamo 15 februari, marekani ilitangaza kuwa ingehamisha wamerikani walioabiri meli ya starehe ya diamond princess.
cases among persons repatriated to the united states from wuhan, china, and the diamond princess cruise ship were excluded.
visa miongoni mwa watu waliorejeshwa nyumbani nchini marekani kutoka wuhan, china na meli ya diamond princess havikujumuishwa.
accountants botswana has only 5 shops and you call your self an accountant when diamond mines want a consultant they will call a south african and not a zambian, what are you still doing here?
wahasibu botswana ina maduka matano pekee na eti mnajiita wahasibu wakati migodi ya dhahabu inapohitaji ushauri wa kitaalamu inawaita wa-afrika kusini na sio nyie wa-zambia, bado mnafanya nini hapa?
even cruise ships without confirmed cases have been denied permission to dock due to virus fears, and in the high-profile case of the diamond princess in japan, hundreds of people were infected on the ship.
hata meli za abiria bila visa vilivyodhibitishwa zimenyimwa ruhusa ya kutua kwa sababu ya hofu ya virusi, na katika kisa kilichoangaziwa sana cha diamond princess nchini japani, mamia ya watu waliambukizwa kwenye meli.