Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
morality is worst interpreted by anatomy.
uadilifu unatafsiriwa vibaya zaidi na maumbile.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
while this section is intended to address spam and phishing attacks, it could be interpreted quite broadly.
wakati kipengele hiki kikikusudia kudhibiti vitendo vya usambazaji wa ujumbe wenye madhara kwa anayeupokea, bado kinaweza kutafsiriwa kwa upana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and they bring him unto the place golgotha, which is, being interpreted, the place of a skull.
kisha wakampeleka yesu mpaka mahali palipoitwa golgotha, maana yake, "mahali pa fuvu la kichwa."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
in a statement, may first noted that the request could be interpreted as an attempt by the american government to help the greek government.
katika tamko, may first ilibainisha kwamba dai hilo linaweza kutafsiriwa kama jaribio la serikali ya marekani kuisaidia serikali ya ugiriki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it comes as no surprise, then, that the news that pope benedict xiv resigned from his post was interpreted from this angle by russian bloggers.
haikuja bila kutarajiwa, basi, kuwa habari za kujiuzulu kwa papa benedict xiv na kuachia wadhifa wake zimetafsiriwa kwa mtazamo huu na wanablogu wa ki-rusi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
if we consider visual material such as manga or cinema, the law has interpreted the term obscenity in this article as the exposure of pubic hair, the adult genitals and the sexual act.
kama tunachukulia vifaa vinavyoonekana kama vile manga au sinema, sheria imetafsiri neno ukosefu wa maadili kwenye ibara hii kama kuonesha vinyweleo vya sehemu za siri, sehemu za siri za watu wazima na tendo la ngono.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and he took the damsel by the hand, and said unto her, talitha cumi; which is, being interpreted, damsel, i say unto thee, arise.
kisha akamshika mkono, akamwambia, "talitha, kumi," maana yake, "msichana, nakwambia, amka!"
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(f) to ensure that no international instruments to which uganda is already a party can be interpreted or applied in uganda in a way that was never intended at the time the document was created;
(f) kuhakikisha kuwa hakuna vyombo vya kimataifa ambavyo uganda ni sehemu yao vinaweza kutafsirika ama kutumika nchini uganda kwa njia ambayo haikukusudiwa wakati ambapo viliundwa;
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
then jesus turned, and saw them following, and saith unto them, what seek ye? they said unto him, rabbi, (which is to say, being interpreted, master,) where dwellest thou?
basi, yesu aligeuka, na alipowaona hao wanafunzi wanamfuata, akawauliza, "mnatafuta nini?" nao wakamjibu, "rabi (yaani mwalimu), unakaa wapi?"
Last Update: 2024-02-20
Usage Frequency: 3
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting