Results for neighbours translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

neighbours

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

all day long the gurus along the way all the neighbours are tired of you

Swahili

wote wamekuchokaa mara chumba

Last Update: 2023-02-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on sunday kenya’s next door neighbours, tanzania go to the polls.

Swahili

jumapili hii, majirani wa kenya, tanzania, wanaingia katika uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and her neighbours and her cousins heard how the lord had shewed great mercy upon her; and they rejoiced with her.

Swahili

jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the neighbours therefore, and they which before had seen him that he was blind, said, is not this he that sat and begged?

Swahili

basi, jirani zake na wale waliokuwa wanajua kwamba hapo awali alikuwa maskini mwombaji, wakasema, "je, huyu siye yule maskini aliyekuwa akiketi na kuomba?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

traditionally turkmen have big families and a wedding is a chance to see even the furthest-flung relatives, as well as display your status to the neighbours.

Swahili

kiasili waturukimeni wana familia kubwa na harusi ni fursa ya kuona ndugu wnegi zaidi, dalili ya heshima kwa majirani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

true to the pf political slogan of more money in your pockets, we have not seen this money, we still go to bed having only eaten one meal, and yet our neighbours are buying luxury cars at 1 billion.

Swahili

kauli mbiu ya kisiasa ya chama cha pf ya fedha zaidi kwenye mifuko yenu ilikuwa kweli tupu. sisi wengine hatujaziona hizi fedha, bado tunaenda kulala tukiwa tumekula mlo mmoja tu, lakini bado majirani zetu wananunua magari ya kifahari kwa bilioni 1.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

despite the resulting efforts of the government to re-energise the sector , french research is suffering in comparison to its anglo-saxon neighbours and is showing signs of running out of steam.

Swahili

pamoja na juhudi zinazotokana na serikali za kuhamasisha upya sekta hiyo , tafiti zinazofanyika nchini ufaransa zina hali mbaya ukilinganisha na zile za majirani zao wa nchi za ujerumani na uingereza na kwa hakika zinaonyesha dalili za kuzorota na uwezekano wa kupotea kabisa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if the hypocrites, and those in whose hearts is a disease, and the rumour mongers in medinah do not desist, we shall then surely impel you against them, so then they will not remain your neighbours in medinah except for a few days.

Swahili

kama wanaafiki na wale wenye maradhi nyoyoni mwao, na waenezao fitna katika madina hawatoacha, basi kwa yakini tutakusalitisha juu yao, kisha hawatakaa humo karibu yako ila muda mchache tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ye have heard that it hath been said, thou shalt love thy neighbour, and hate thine enemy.

Swahili

"mmesikia kwamba ilisemwa: mpende jirani yako na kumchukia adui yako.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,746,051,949 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK