Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
peradventure allah will restrain the might of those who disbelieve.
na wahimize waumini. huenda mwenyezi mungu akayazuia mashambulio ya walio kufuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and speak unto him a gentle word, that peradventure he may heed or fear.
mwambieni maneno laini, huenda akazingatia au akaogopa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
peradventure he may be of use to us, or we may choose him for a son.
huenda akatufaa, au tumpange kuwa mwenetu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i see a fire afar off. peradventure i may bring you a brand therefrom or may find guidance at the fire.
mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we straitened pharaoh's folk with famine and dearth of fruits, that peradventure they might heed.
na hakika tuliwaadhibu watu wa firauni kwa miyaka (ya ukame) na kwa upungufu wa mazao, ili wapate kukumbuka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when he turned his face toward midian, he said: peradventure my lord will guide me in the right road.
na alipo elekea upande wa madyana alisema: asaa mola wangu mlezi akaniongoa njia iliyo sawa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in meekness instructing those that oppose themselves; if god peradventure will give them repentance to the acknowledging of the truth;
ambaye ni mpole anapowaonya wapinzani wake, kwani huenda mungu akawajalia nafasi ya kutubu, wakapata kuujua ukweli.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
i see in the distance a fire; peradventure i shall bring you tidings thence, or a brand from the fire that ye may warm yourselves.
mimi nimeona moto, labda nitakuleteeni kutoka huko khabari au kijinga cha moto ili mpate kuota moto.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
thus we have revealed it as a lecture in arabic, and have displayed therein certain threats, that peradventure they may keep from evil or that it may cause them to take heed.
na namna hivi tumeiteremsha qur'ani kwa kiarabu, na tumekariri humo maonyo ili wapate kuogopa na kujilinda na iwaletee makumbusho.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah desireth for you ease; he desireth not hardship for you; and (he desireth) that ye should complete the period, and that ye should magnify allah for having guided you, and that peradventure ye may be thankful.
mwenyezi mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze mwenyezi mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: