Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
physical address
anwani ya mwili
Last Update: 2019-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it signifies physical as well as mental pain.
vitendo hivyo hudhihirisha maumivu ya kimwili na yale ya kiakili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
okhi – physical addressing system for logistics solutions
okhi – mfumo wa anuani za makazi kwa masuala ya manunuzi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
direct physical contact with a probable or confirmed case;
utangamano wa kimwili wa moja kwa moja na mtu anayeshukuwa au aliyedhibitishwa;
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
they go through domestic and physical violence and don’t complain.
wanapitia mateso ya ndani ya nyumba pamoja na kupigwa bila ya kulalamika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the physical growth of those whom we grant a long life will be reversed.
na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he then notes the emotional and physical torture he sustained while in detention:
kisha anaeleza kuhusu mateso ya kihisia na kimwili aliyoyapitia wakati akiwa kizuizini:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hand washing also protects against impetigo which is transmitted through direct physical contact.
kuosha mikono pia huzuia ugonjwa wa ngozi wa upele ambao husambazwa kupitia mgusano wa moja kwa moja wa mwili.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
how can early chidhood setting create environment that encorage snd facilitate physical and groos motor skiils developmnent
utoto wa mapema
Last Update: 2023-12-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he is saying these people should be allowed to live life free from physical danger and enjoy same basic rights without discrimination.
anasema watu hawa wapaswa kuruhusiwa kuishi maisha huru dhidi ya hatari ya kimwili na kufurahia haki hizi za msingi pasipo ubaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
their prophet said, "god has chosen him as your ruler and has given him physical power and knowledge.
akasema: mwenyezi mungu amemteua yeye juu yenu na amemzidishia ukunjufu wa ilimu na kiwiliwili.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.
mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
among those arrested was 75 year-old blanca hernández moya, who suffered physical attacks at the hands of police agents...
katika waliokamatwa alikuwepo blanca hernández moya , ajuza wa miaka 75, aliyeteseka kwa kipigo cha kinyama akiwa mikononi mwa polisi…
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
people, have fear of your lord; the quake (of the physical realm) at the hour of doom will be terribly violent.
mcheni mola wenu mlezi. hakika tetemeko la saa (ya kiyama) ni jambo kuu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
physical distancing measures are also recommended to prevent transmission.many governments have restricted or advised against all non-essential travel to and from countries and areas affected by the outbreak.
hatua za kudumisha umbali pia hupendekezwa kuzuia usambazaji.serikali nyingi zimeweka vizuizi au kushauri dhidi ya safari yoyote isiyo muhimu kuelekea na kutoka nchi na maeneo zilizoathirika na kuzuka kwa ugonjwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
even if reporters at the front-line risk physical injuries to cover the news, their stories might not be published because of self-censorship practices in the newsroom.
ingawa waandishi wanaokuwa uwanja wa mapambano huhatarisha maisha yao kwa minajili ya kuandika habari, bado habari zao wakati mwingine haziandikwi kwa sababu ya kufuatiliwa kunakofanywa ndani ya vyombo vya habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it is the policy and commitment of the company that it does not discriminate on the basis of race, age, color, sex, national origin, physical or mental disability, or religion.
c / ni sera na dhamira ya kampuni kuwa haina ubaguzi kwa misingi ya rangi, umri, rangi, jinsia, asili ya kitaifa, ulemavu wa mwili au kiakili, au dini.
Last Update: 2019-08-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
keeping records of events. i am organized honest and observant. my excellent physical condition allows me to work on my feet for an entire shift with ease. i have an established relationship with local law enforcement due to my experience working as a security officer. my diligence and professionalism have earned me praise both from local officers and from current supervisors. i would like the opportunity to bring that same level of stellar work to the security officer position with your company. i am confident that i am a candidate that will stand out from the rest. please contact me at the email or phone number provided at your earliest convenience to arrange a time to talk in person. i welcome the opportunity to talk to you and thank you very much for your hiring consideration for the security officer position with bedford corporation. sincerely, shayna booker
shayna booker city, jimbo, zip code home : 000 000 0000 cell: 000 000 0000 email@email.com dear mr. brewer, ninaandika kuomba nafasi ya afisa wa usalama na bedford corporation. nina uzoefu wa miaka mitatu wa usalama na kuongeza uwajibikaji na kufurahia kazi sana. hivi sasa, nimeajiriwa kama afisa wa usalama na oakdale mall ambapo majukumu yangu ya msingi ni pamoja na kuchunguza tabia ya tuhuma inayowashikilia wanunuzi ambao wamekamatwa katika shughuli haramu na kuweka
Last Update: 2023-11-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: