Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
io sono il pane della vita
mimi ni mkate wa uzima.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
io sono con voi: [tutto] odo e vedo.
hakika mimi ni pamoja nanyi. nasikia na ninaona.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
gloria a te! io sono stato un ingiusto!”.
hakika mimi nilikuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
io sono una dei 100 corrispondenti invitati da tutto il mondo.
mimi ni mmoja wa wawakilishi wake 100 walioalikwa kutoka duniani kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
del quale io sono stato costituito araldo, apostolo e maestro
mungu amenichagua mimi niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri habari njema,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
disse: “io sono giuseppe e questi è mio fratello.
akasema: mimi ndiye yusuf, na huyu ni ndugu yangu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
poiché sta scritto: voi sarete santi, perché io sono santo
maandiko yasema: "muwe watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
già inviammo noè al popolo suo: “io sono un nunzio esplicito,
na sisi tulimtuma nuhu kwa watu wake, akawaambia: hakika mimi ni mwonyaji kwenu ninaye bainisha,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
perché dove sono due o tre riuniti nel mio nome, io sono in mezzo a loro»
kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
per questo dichiaro solennemente oggi davanti a voi che io sono senza colpa riguardo a coloro che si perdessero
hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
sì, questa vostra comunità è un'unica comunità e io sono il vostro signore.
kwa hakika huu umma wenu ni umma mmoja, na mimi ni mola wenu mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
disse: “o popol mio, in verità io sono per voi un ammonitore evidente:
akasema: enyi watu wangu! kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
e io sono morto; la legge, che doveva servire per la vita, è divenuta per me motivo di morte
nami nikafa. hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
disse mosè: “o faraone, in verità io sono un messaggero inviato dal signore dei mondi.
na musa alisema: ewe firauni! hakika mimi ni mtume nitokaye kwa mola mlezi wa viumbe vyote.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
intanto i giudei mormoravano di lui perché aveva detto: «io sono il pane disceso dal cielo»
basi, wayahudi wakaanza kunung'unika kwa kuwa alisema: "mimi ni mkate ulioshuka kutoka mbinguni."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
[o muhammad], annuncia ai miei servi che, in verità, io sono il perdonatore, il misericordioso,
waambie waja wangu ya kwamba mimi ndiye mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
[che disse]: “datemi i servi di allah! io sono per voi un messaggero affidabile!
akasema: nipeni waja wa mwenyezi mungu; kwa hakika mimi kwenu ni mtume muaminifu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
di': “uomini, io sono un messaggero di allah a voi tutti inviato da colui al quale appartiene la sovranità dei cieli e della terra.
sema: enyi watu! hakika mimi ni mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na mwenyezi mungu mwenye ufalme wa mbingu na ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
chi mai proferisce parola migliore di colui che invita ad allah, e compie il bene e dice: “sì, io sono uno dei musulmani”?
na ni nani mbora wa kusema kuliko aitaye kwa mwenyezi mungu na akatenda mema, na akasema: hakika mimi ni katika waislamu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ecco sono compiute! io sono l'alfa e l'omega, il principio e la fine. a colui che ha sete darò gratuitamente acqua della fonte della vita
kisha akaniambia, "yametimia! mimi ni alfa na omega, mwanzo na mwisho. aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting