Results for serpenti translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

serpenti

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

serpenti, razza di vipere, come potrete scampare dalla condanna della geenna

Swahili

enyi kizazi cha nyoka wenye sumu! mnawezaje kuiepa hukumu ya moto wa jehanamu?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

non mettiamo alla prova il signore, come fecero alcuni di essi, e caddero vittime dei serpenti

Swahili

tusimjaribu bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la loro gola è un sepolcro spalancato, tramano inganni con la loro lingua, veleno di serpenti è sotto le loro labbra

Swahili

makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu, midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ecco: io vi mando come pecore in mezzo ai lupi; siate dunque prudenti come i serpenti e semplici come le colombe

Swahili

"sasa, mimi nawatuma ninyi kama kondoo kati ya mbwa mwitu. muwe na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

ecco, io vi ho dato il potere di camminare sopra i serpenti e gli scorpioni e sopra ogni potenza del nemico; nulla vi potrà danneggiare

Swahili

naam, nimewapeni uwezo wa kukanyaga nyoka na ng'e, na uwezo juu ya nguvu zote za yule adui; hakuna chochote kitakachowadhuru.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

la potenza dei cavalli infatti sta nella loro bocca e nelle loro code; le loro code sono simili a serpenti, hanno teste e con esse nuociono

Swahili

maana nguvu ya farasi hao ilikuwa vinywani mwao na katika mikia yao. mikia yao ilikuwa na vichwa kama nyoka, na waliitumia hiyo kuwadhuru watu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

prenderanno in mano i serpenti e, se berranno qualche veleno, non recherà loro danno, imporranno le mani ai malati e questi guariranno»

Swahili

wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

e geova dio diceva al serpente: “poiché hai fatto questa cosa, sei il maledetto fra tutti gli animali domestici e fra tutte le bestie selvagge del campo. andrai sul tuo ventre e mangerai polvere tutti i giorni della tua vita. e io porrò inimicizia fra te e la donna e fra il tuo seme e il seme di lei. egli ti schiaccerà la testa e tu gli schiaccerai il calcagno”. alla donna disse: “aumenterò grandemente il dolore della tua gravidanza; con doglie partorirai figli, e la tua brama sarà verso tuo marito, ed egli ti dominerà”. e ad adamo disse: “poiché hai ascoltato la voce di tua moglie e hai mangiato dell’albero circa il quale ti avevo dato questo comando: ‘non ne devi mangiare’, il suolo è maledetto per causa tua. con dolore ne mangerai il prodotto tutti i giorni della tua vita. e ti produrrà spine e triboli, e devi mangiare la vegetazione del campo. col sudore della tua faccia mangerai pane finché tornerai al suolo, poiché da esso sei stato tratto. poiché polvere sei e in polvere tornerai”. dopo ciò adamo mise a sua moglie il nome di eva, perché doveva divenire la madre di tutti i viventi. e geova dio faceva lunghe vesti di pelle per adamo e per sua moglie e li vestiva. e geova dio proseguì, dicendo: “ecco, l’uomo è divenuto simile a uno di noi conoscendo il bene e il male, e ora perché non stenda la mano e realmente prenda anche del frutto] dell’albero della vita e mangi e viva a tempo indefinito, …” allora geova dio lo mandò fuori del giardino di eden, perché coltivasse il suolo dal quale era stato tratto. e così cacciò l’uomo e pose ad oriente del giardino di eden i cherubini e la fiammeggiante lama di una spada che roteava continuamente per custodire la via dell’albero della vita.

Swahili

na yehova mungu akamwambia nyoka: “kwa sababu umefanya jambo hili, umelaaniwa kati ya wanyama wote wa kufugwa na kati ya wanyama wote wa mwituni. utakwenda kwa tumbo lako na utakula mavumbi siku zote za maisha yako. nami nitaweka uadui kati yako na yule mwanamke na kati ya uzao wako na uzao wake. yeye atakuponda kichwa nawe utamtia jeraha kwenye kisigino.” akamwambia mwanamke: “nitazidisha sana maumivu ya mimba yako; kwa uchungu utazaa watoto, na tamaa yako itakuwa kwa mume wako, naye atakutawala.” naye akamwambia adamu: “kwa sababu uliisikiliza sauti ya mke wako ukala matunda ya mti ambao nilikupa amri hii kuuhusu, ‘usile matunda yake,’ udongo umelaaniwa kwa sababu yako. kwa maumivu utakula mazao yake siku zote za maisha yako. nao utakuzalia miiba na mibaruti, nawe utakula mimea ya shambani. kwa jasho la uso wako utakula mkate mpaka utakaporudi katika udongo, kwa kuwa ulitolewa katika huo. kwa maana wewe ni mavumbi nawe utarudi mavumbini.” baada ya hayo adamu akamwita mke wake jina lake hawa, kwa sababu ndiye angekuja kuwa mama ya kila mtu anayeishi. na yehova mungu akawafanyia adamu na mke wake mavazi marefu ya ngozi, akawavika. na yehova mungu akaendelea kusema: “tazama, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu kwa kujua mema na mabaya, na sasa ili asije akanyoosha mkono wake achukue matunda kutoka pia katika mti wa uzima na kula na kuishi mpaka wakati usio na kipimo,—” kwa hiyo yehova mungu akamwondoa katika bustani ya edeni ili aulime udongo ambao katika huo alikuwa ametolewa. na basi akamfukuza huyo mtu, akaweka upande wa mashariki wa bustani ya edeni makerubi na upanga unaowaka ambao ulikuwa unajizungusha-zungusha ili kuilinda njia ya kwenda kwenye ule mti wa uzima.

Last Update: 2013-03-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,727,914,359 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK