Results for visādām translation from Latvian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latvian

Swahili

Info

Latvian

visādām

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latvian

Swahili

Info

Latvian

no kura visa miesa, kas apvienota un savienota visādām palīgsaitēm, mīlestībā augs sevis izkopšanai saskaņā ar katra locekļa darbības mēru.

Swahili

chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

viņiem vara aizslēgt debesis, lai nelītu viņu pravietošanas laikā; tiem vara ūdeņus pārvērst asinīs un sist zemi visādām mocībām, kad vien viņi gribēs.

Swahili

hao wanayo mamlaka ya kufunga anga, mvua isinyeshe wakati wanapotangaza ujumbe wa mungu. tena wanayo mamlaka ya kuzigeuza chemchemi zote za maji ziwe damu, na ya kusababisha maafa ya kila namna duniani kila mara wapendavyo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Latvian

bet bēdas jums, farizeji! jūs dodat desmito tiesu no mētrām un rūtām, un visādiem dārza augiem, bet atstājat neievērotu taisnību un dieva mīlestību. vienu vajadzēja darīt, bet arī otru neatstāt.

Swahili

"lakini ole wenu mafarisayo, kwa sababu mnatoza watu zaka hata juu ya majani ya kukolezea chakula, mchicha na majani mengine, na huku hamjali juu ya haki na upendo kwa mungu. mambo haya iliwapasa muwe mmeyazingatia bila kuyasahau yale mengine.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,727,402,055 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK