Results for njihovih translation from Serbian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Serbian

Swahili

Info

Serbian

njihovih

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Serbian

Swahili

Info

Serbian

i poèeše ga moliti da ide iz njihovih krajeva.

Swahili

basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

da daš razum spasenja narodu njegovom za oproštenje greha njihovih,

Swahili

kuwatangazia watu kwamba wataokolewa kwa kuondolewa dhambi zao.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

a isus znajuæi pomisli srca njihovih uze dete i metnu ga preda se,

Swahili

yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

pokaza silu rukom svojom; razasu ponosite u mislima srca njihovih.

Swahili

amefanya mambo makuu kwa mkono wake: amewatawanya wenye kiburi katika mawazo ya mioyo yao;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i ovo rekavši videše oni gde se podiže i odnese ga oblak iz oèiju njihovih.

Swahili

baada ya kusema hayo, wote wakiwa wanamtazama, alichukuliwa mbinguni; wingu likamficha wasimwone tena.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

a ona reèe: da, gospode, ali i psi jedu od mrva što padaju s trpeze njihovih gospodara.

Swahili

huyo mama akajibu, "ni kweli, mheshimiwa; lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka meza ya bwana wao."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Serbian

i od ova tri zla pogibe treæina ljudi, od ognja i od dima i od sumpora što izlažaše iz usta njihovih.

Swahili

theluthi moja ya wanaadamu waliuawa kwa mabaa hayo matatu yaani, moto, moshi na kiberiti, yaliyokuwa yanatoka katika vinywa vyao;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i imahu oklope kao oklope gvozdene, i glas krila njihovih beše kao glas kola kad mnogi konji trèe na boj;

Swahili

vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

ali se glas o njemu još veæma razlažaše, i mnoštvo naroda stecaše se da ga slušaju i da ih isceljuje od njihovih bolesti.

Swahili

lakini habari za yesu zilizidi kuenea kila mahali. watu makundi mengi wakakusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i ako im ko nepravdu uèini, oganj izlazi iz usta njihovih, i poješæe neprijatelje njihove; i ko bude hteo da im uèini nažao onaj valja da bude ubijen.

Swahili

kama mtu akijaribu kuwadhuru, moto hutoka kinywani mwao na kuwaangamiza adui zao; na kila mtu atakayejaribu kuwadhuru atakufa namna hiyo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i bog æe otrti svaku suzu od oèiju njihovih, i smrti neæe biti više, ni plaèa, ni vike, ni bolesti neæe biti više; jer prvo prodje.

Swahili

yeye atayafuta machozi yao yote; maana hakutakuwako tena na kifo, wala uchungu, wala kilio, wala maumivu; maana ile hali ya kale imepita!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Serbian

ova kampanja će istaknuti rad mnogih pojedinaca i grupa koji se zalažu za korišćenje njihovih jezika na internetu, od kojih mnogi važe za "aktiviste digitalnog jezika" zbog uloge koju imaju u premošćavanju jaza i podsticanju nove generacije govornika.

Swahili

kampeni hii itamulika kazi za watu mbalimbali na makundi yaliyojitoa kutumia lugha zao kwenye mtandao wa intaneti, wengi wanaoweza kutambuliwa kama "wanaharakati wa kidijitali wa lugha" kwa nafasi zao katika kuunganisha pengo hili na kuhamasisha kizazi kipya cha wazungumzaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Serbian

međutim, stranka je obećala da će dugoročno organizovati proteste i ometanja. ova grupa planira da 5. maja, 2013 da odseče daku od ostatka zemlje tako što će postaviti svoje aktiviste na svih šest ulaza u grad kao odgovor na tvrdnju premijera da rešavanje većine njihovih 13 zahteva "nema značaja".

Swahili

siku ya matembezi hayo ya umbali mrefu, kikundi hicho cha kiislam cha hifazat-e sio tu kuwa kiliwazuia wanawake wasishiriki tukio hilo, lakini pia waliwadhalilisha kimwili na kwa maneno baadhi ya waandishi wa habari wanawake walipokuwa wakitekeleza kazi zao wakati tukio lile likiendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,746,108,950 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK