Results for uthibitisho translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

uthibitisho

Chinese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

na hakika tulimtuma musa pamoja na ishara zetu na uthibitisho ulio wazi

Chinese (Simplified)

我确已派遣穆萨带著我的许多迹象和明证去

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwa yakini tulimtuma musa pamoja na ishara zetu na uthibitisho ulio wazi,

Chinese (Simplified)

我确已派遣穆萨带着我的迹象和明证,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na msimfanyie kiburi mwenyezi mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho ulio wazi.

Chinese (Simplified)

你们不要对真主高傲。我必定要昭示你们一个明证。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambaye alijitoa mwenyewe kuwakomboa watu wote. huo ulikuwa uthibitisho, wakati ufaao ulipowadia.

Chinese (Simplified)

他 捨 自 己 作 萬 人 的 贖 價 . 到 了 時 候 、 這 事 必 證 明 出 來

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uunganishi utaulizia uthibitisho kabla ya upishanaji mpya wa nafasi kwa faili lolote katika folida lenye mzozozano na mafaili yanayonakiliwa.

Chinese (Simplified)

合并将会在替换冲突文件时请求确认。

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata kama kwa watu wengine mimi si mtume, lakini walau kwenu ninyi mimi ni mtume. ninyi ni uthibitisho wa mtume wangu kwa sababu ya kuungana kwenu na bwana.

Chinese (Simplified)

假 若 在 別 人 我 不 是 使 徒 、 在 你 們 我 總 是 使 徒 . 因 為 你 們 在 主 裡 面 正 是 我 作 使 徒 的 印 證

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokana na uthibitisho unaoonyeshwa kwa huduma hii yetu, watu watamtukuza mungu kwa sababu ya uaminifu wenu kwa habari njema ya kristo mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa wao na watu wote.

Chinese (Simplified)

他 們 從 這 供 給 的 事 上 得 了 憑 據 、 知 道 你 們 承 認 基 督 順 服 他 的 福 音 、 多 多 的 捐 錢 給 他 們 和 眾 人 、 便 將 榮 耀 歸 與   神

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake yeye. kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo mwenyezi mungu?

Chinese (Simplified)

我们的这些同族,舍他而崇拜别的许多神明,他们怎么不用一个明证来证实那些神明是应受崇拜的呢?假借真主的名义而造谣的人,有谁比他们还不义呢?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hayo hayakuwa ila ni majina mliyo wapa nyinyi na baba zenu. mwenyezi mungu hakuleta uthibitisho wowote juu ya hayo. hawafuati ila dhana tu na kipendacho nafsi. na kwa yakini uwongofu ulikwisha wafikia kutoka kwa mola wao mlezi.

Chinese (Simplified)

这些偶像只是你们和你们的祖先所定的名称,真主并未加以证实,他们只是凭猜想和私欲。正道确已从他们的主降临他们。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa tumewaamrisha: jiueni, au tokeni majumbani kwenu, wasingeli fanya hayo ila wachache tu miongoni mwao. na lau kama wangeli fanya walio waidhiwa ingeli kuwa bora kwao na uthibitisho wa nguvu zaidi.

Chinese (Simplified)

假若我命令他们说:你们自杀或离乡吧!他们除少数人外,都不遵命。假若他们遵行自己所受的劝戒,这对于他们必定是裨益更多的,使他们的信仰更加坚定的。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: mola mlezi wangu ameharimisha mambo machafu ya dhaahiri na ya siri, na dhambi, na uasi bila ya haki, na kumshirikisha mwenyezi mungu na asicho kiletea uthibitisho, na kumzulia mwenyezi mungu msiyo yajua.

Chinese (Simplified)

你說:「我的主只禁止一切明顯的和隱微的醜事,和罪惡,和無理的侵害,以及用真主所未証實的事物配真主,假借真主的名義而妄言自己所不知道的事情。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema: bila ya shaka adhabu na ghadhabu zimekwisha kukuangukieni kutoka kwa mola wenu mlezi. mnabishana nami kwa ajili ya majina tu mliyo yaita nyinyi na baba zenu ambayo kwayo mwenyezi mungu hakuteremsha uthibitisho? basi ngojeni, mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngoja.

Chinese (Simplified)

他說:「刑罰和譴怒,必從你們的主來臨你們。你們和你們的祖先所定的許多名稱,真主並未加以証實,難道你們要為那些名稱與我爭論嗎?你們等待著吧!我的確是與你們一起等待的。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,727,191,724 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK