Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
anayetaka kunitumikia ni lazima anifuate, hivyo kwamba popote pale nilipo mimi ndipo na mtumishi wangu atakapokuwa. mtu yeyote anayenitumikia baba yangu atampa heshima.
if any man serve me, let him follow me; and where i am, there shall also my servant be: if any man serve me, him will my father honour.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha yesu akawaambia wanafunzi wake, "kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
then said jesus unto his disciples, if any man will come after me, let him deny himself, and take up his cross, and follow me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akauita umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, "mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
and when he had called the people unto him with his disciples also, he said unto them, whosoever will come after me, let him deny himself, and take up his cross, and follow me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting