Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ninaungana na wewe kwa asilimia 100.
@mr_bata_ totally agree with you.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
si hivyo tu, lakini pia ningependa kukamata mawazo yako juu ya ukweli kuwa nepal inaagiza karibu asilimia 100 ya mafuta yake.
not only that, i would also like to catch your attention about the fact that nepal imports almost 100% of its oil.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akaunti hii ilianzishwa mapema mwezi mei mwaka huu, ina takribani marafiki 2,000 na inamtambulisha yeye kama muislamu kwa asilimia 100 mwenye mtazamo wa siasa za kihafidhina, aneyependelea wanawake na ameoa.
his facebook page, created early in may this year, has about 2,000 friends and identifies him as a 100% muslim with conservative political views, interested in women and married.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kila mwaka oktoba 24, " siku ya meena" inaadhimishwa nchini bangladesh kuhamasisha jamii kuwaandikisha watoto mashuleni kwa asilimia 100, kukwepa wanafunzi kuacha masomo na kuhakikisha ilimu bora mashuleni.
every year on 24th october "meena day" is observed in bangladesh to promote social awareness on 100% enrollment of kids in school, avoid dropouts and ensure proper education.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
anaongoza kampeni inayoitwa “urembo kwa nchi yangu: mimi ni m-sierra leone kwa asilimia 100, si kirusi" akishirikiana na wenzake kama elvinah ade johnson ana haja mariatu thomas.
she is leading the campaign "beauty for country: i am 100% sierra leonean, not a virus" with fellow citizens elvinah ade johnson and haja mariatu thomas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting