Results for bado wapo vilevile translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

bado wapo vilevile

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wanawafanyia nini na wengine wote ambao bado wapo rumande?

English

what do they do to all the others who are in custody?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tafadhali fahamu: bado wapo wananchi wengi wanaopinga mapinduzi ya kijeshi wanaokataa kunyanyaswa na jeshi

English

please know : there are still many anti-coup thais who refuse to be oppressed by the military

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanawe wadogo walikuwa bado wamelala, lakini binti zake, haneen na yaqeen walikuwa bado wapo macho.

English

his youngest kids were asleep, but his daughters, haneen and yaqeen, were still up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakulima weupe pote afrika kusini bado wapo chini ya mashambulizi, sasa mmoja wa makaburu anayefahamika sana ameuawa katika shamba lake mwenyewe kutokana na ugomvi wa malipo ya mshahara kama inavyodaiwa.

English

white farmers all over south africa are still under attack, now one of the biggest known boers have been murdered on his own farm because of a wage dispute allegedly.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado wapo katika gereza la wanawake la trichy, wakiwa bado wanashikilia msimamo wa dunia wa “kutokomeza moja ya silaha hatari sana duniani iliyogunduliwa na mwanadamu”.

English

they are still in the women’s prison of trichy, holding on to their vision of a world that is “free from one of the most toxic of human inventions".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

matokeo yake, watu wengi zaidi wamehamia kwenye shughuli za uvuvi, wakati huohuo rasilimali hizi nazo sasa hazitoshelezi ... karibu hakuna tena ambatsi na sâro, fiambazaha bado wapo kidogo lakini si kwa wingi kama zamani... ilikuwa rahisi sana kuwakamata angora lo na varavara zamani lakini sasa hivi karibu wanakwisha...vilevile imekuwa vigumu kupata samaki jamii ya tofoki (mwandishi anadokeza kuwa, maneno yaliyo katika hati mlazo ni majina ya samaki kwa kimalagasi).

English

as a result, there are many more people living off fishing, and resources are no longer enough... ambatsy and sâro are almost non-existent. fiambazahaare still around but not as many...angora lo and varavarà were so easy to catch in the past but are almost non-existent now... tofoky are also hard to find (author's note: names in italics are species of fish in malagasy)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,727,680,093 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK