Results for damasko translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

damasko

English

damascus

Last Update: 2013-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini alipokuwa njiani karibu kufika damasko, ghafla mwanga kutoka angani ulimwangazia pande zote.

English

and as he journeyed, he came near damascus: and suddenly there shined round about him a light from heaven:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko damasko.

English

and when he had received meat, he was strengthened. then was saul certain days with the disciples which were at damascus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika damasko.

English

and when i could not see for the glory of that light, being led by the hand of them that were with me, i came into damascus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

saulo alizidi kupata nguvu, na kwa jinsi alivyothibitisha wazi kwamba yesu ndiye kristo, wayahudi wa huko damasko walivurugika kabisa.

English

but saul increased the more in strength, and confounded the jews which dwelt at damascus, proving that this is very christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

"kwa mujibu huohuo, nilikwenda damasko wakati mmoja, nikiwa na mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.

English

whereupon as i went to damascus with authority and commission from the chief priests,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya kiyahudi kule damasko, ili akikuta huko wanaume au wanawake wanaofuata njia ya bwana, awakamate na kuwaleta yerusalemu.

English

and desired of him letters to damascus to the synagogues, that if he found any of this way, whether they were men or women, he might bring them bound unto jerusalem.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

"basi, nilipokuwa njiani karibu kufika damasko, yapata saa sita mchana, mwangu mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.

English

and it came to pass, that, as i made my journey, and was come nigh unto damascus about noon, suddenly there shone from heaven a great light round about me.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo, barnaba alikuja akamchukua saulo, akampeleka kwa mitume na kuwaeleza jinsi saulo alivyomwona bwana njiani na jinsi bwana alivyoongea naye. aliwaambia pia jinsi saulo alivyokuwa amehubiri bila uoga kule damasko.

English

but barnabas took him, and brought him to the apostles, and declared unto them how he had seen the lord in the way, and that he had spoken to him, and how he had preached boldly at damascus in the name of jesus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, mimi nikauliza: nifanye nini bwana? naye bwana akaniambia: simama, nenda damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.

English

and i said, what shall i do, lord? and the lord said unto me, arise, and go into damascus; and there it shall be told thee of all things which are appointed for thee to do.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, huko damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye anania. bwana akamwambia katika maono, "anania!" anania akaitika, "niko hapa, bwana."

English

and there was a certain disciple at damascus, named ananias; and to him said the lord in a vision, ananias. and he said, behold, i am here, lord.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,728,858,862 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK