From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
firigisi ya mnyama
gizzard of the animal
Last Update: 2015-10-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
firigisi ya kuku
chicken gizzard
Last Update: 2016-01-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana ya mnyama nimpendaye
insha mnyama nimpendaye
Last Update: 2021-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
virusi hivi havihitaji hifadhi ndani ya mnyama.
these viruses do not need an animal reservoir.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kati ya virusi hivyo kuna virusi vya alpha-cov vinavyopatikana kwa alpaca ambaye ni aina ya mnyama.
between them there is an alpaca alpha-cov.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yenye picha kubwa ya mnyama simba ni ya timu ya simba na ile ya mwenge unaonekana ndani ya ramani ya afrika ni yanga.
the flag with the majestic lion is simba; the torch superimposed on a map of africa is yanga.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, mbebaji wa kati aliyesaidia virusi hivi kuhamia kwa binadamu kutoka kwa kizuizi cha aina hiyo ya mnyama bado hajulikani na njia ya usambazaji wake bado haijapambanuliwa.
however, what intermediate host helped the virus cross the species barrier to infect humans remains unknown, and the transmission route is yet to be elucidated.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aliwapotosha wakazi wa dunia kwa miujiza hiyo aliyojaliwa kutenda mbele ya mnyama wa kwanza. aliwaambia wakazi wa dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi tena.
and deceiveth them that dwell on the earth by the means of those miracles which he had power to do in the sight of the beast; saying to them that dwell on the earth, that they should make an image to the beast, which had the wound by a sword, and did live.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika ukaguzi huu, tunawasilisha muhtasari wa ujuzi uliopo kuhusu aina saba za hcov, kwa kuangazia historia ya kugunduliwa kwake pamoja na chanzo chake kwenye wanyama na kuenezwa kwake kutoka kwa aina moja ya mnyama hadi nyingine.
in this review, we present an overview of the existing knowledge about the seven hcovs, with a focus on the history of their discovery as well as their zoonotic origins and interspecies transmission.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hapa ni lazima kutumia ujasiri! mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. tarakimu hiyo ni mia sita sitini na sita.
here is wisdom. let him that hath understanding count the number of the beast: for it is the number of a man; and his number is six hundred threescore and six.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kisha, roho akanikumba, akaniongoza mpaka jangwani. huko nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu. mnyama huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.
so he carried me away in the spirit into the wilderness: and i saw a woman sit upon a scarlet coloured beast, full of names of blasphemy, having seven heads and ten horns.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msile vyakula vilivyotambikiwa sanamu; msinywe damu; msile nyama ya mnyama aliyenyongwa; na mjiepushe na uasherati. mtakuwa mmefanya vema kama mkiepa kufanya mambo hayo. wasalaam!"
that ye abstain from meats offered to idols, and from blood, and from things strangled, and from fornication: from which if ye keep yourselves, ye shall do well. fare ye well.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kuhusu wale watu wa mataifa mengine ambao wamekuwa waumini, tumekwisha wapelekea barua tukiwaambia mambo tuliyoamua: wasile chochote kilichotambikiwa miungu ya uongo, wasinywe damu, wasile nyama ya mnyama aliyenyongwa, na wajiepushe na uasherati."
as touching the gentiles which believe, we have written and concluded that they observe no such thing, save only that they keep themselves from things offered to idols, and from blood, and from strangled, and from fornication.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting