Results for halimashauri ya mpito translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

halimashauri ya mpito

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sd: wapo baadhi ya watu wa alawite katika serikali ya mpito, kwa upande wa upinzani.

English

sd: there are some alawites in the coalition, in the opposition.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au, hata kama haitakuwa vizuri, labda kutakuwa na mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya mpito?

English

or, even worse, will there be a suggestion for an interim government?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali ya shirikisho ya mpito (tfg) ndiyo serikali ya jamhuri ya somalia inayotambulika kimataifa.

English

the transitional federal government (tfg) is the internationally recognized government of the republic of somalia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandamano dhidi ya serikali ya mpito inayoongozwa na mohamed ghannouchi, mshirika wa karibu wa ben ali, tarehe 25.

English

protest against interim government presided by mohamed ghannouchi, a close ally of ben ali, on february 25.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kujadili sheria, kujadili bajeti, kuamua kuhusu zoezi la uchaguzi na kutolewa kwa haki ya mpito na kubadilika kwa diplomasia.

English

debating laws, debating a budget, deciding on an electoral process and transitional justice and changing diplomacy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

swali ni kwamba "miujiza" ya mpito wa afrika kusini kutoka sera za kibaguzi kufikia demokrasia ilikuwaje?

English

the question is just how “miraculous” was south africa’s transition from apartheid to democracy?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

rajoelina alitangaza kuundwa kwa serikali ya mpito, na yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa serikali, bila kujali ukweli kwamba serikali iliyopo sasa bado inashikilia nafasi hiyo.

English

rajoelina announced the creation of a new transitional government, with himself as its leader, in spite of the fact that the current government is still in place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kapteni sanogo ndiye kiongozi wa kamati ya kijeshi ya taifa ya kurejesha demokrasia na nchi (cnrdr) ambao wanasema wataongoza serikali ya mpito mpaka uchaguzi utakapofanyika.

English

capitaine sanogo is the leader of the new national committee for the restoration of democracy and state (cnrdr) who say they will pilot the transition until the elections in april.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@oasanchez rt @democracynow: rt @sharifkouddous: baadhi wanataka baradei awemo katika namna fulani ya serikali ya mpito.

English

@oasanchez rt @democracynow: rt @sharifkouddous: some want baradei to be in type of transitional gov't.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

...itakuwa vizuri kama tume ya mpito ya uchaguzi na kura ya maoni ya tajikistan (ccert) kuwataka wagombea wote wa urais kutangaza mapato yao ya kila mwaka na vyanzo vyake ...

English

...t would be good if the central commission for elections and referendums of tajikistan (ccert) demanded that all presidential candidates declare their annual income and its sources...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa madagaska, antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji andry rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.

English

at least 25 people were shot dead today in madagascar's capital antananarivo during a march to the presidential palace called by the city's mayor andry rajoelina after he declared himself the leader of a new transitional government at a political rally.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufuatia kujiuzulu kwa kushtukiza kwa serikali ya boyko borisov mnamo februari 20, kulikokuja mara baada ya maandamano yaliyotanguliawhich came after an earlier protest kuhatarisha amani zaidi, wanaharakati wa harakati za maandamano waliitisha mkutano katika jiji la sliven na walikubaliana mambo wanayoyahitaji: sio kuliahirisha bunge; rais anapaswa kuwateua wataalamu watakaoiunda serikali mpya, badala ya kuifanya kuwa serikali ya mpito, kuandaa mswada wa ushirikishwaji wa wananchi utakaoruhusu uhusika wa asilimia 50 ya raia katika taasisi zote, kurudisha serikalini asilimia 51 ya sekta zote za nishati, kuisimamia kampuni ya nishati ya bulgaria (beh), ili isiikandamize sekta ya nishati; kuitisha mkutano mkuu wa bunge pamoja na kuandaa mkakati wa kuwarudisha tena wabunge.

English

following the surprise resignation of boyko borisov's government on february 20, which came after an earlier protest turned violent, activists of the protest movement held a meeting in the city of sliven and agreed on a list of demands: not to adjourn the parliament; the president should appoint experts to the new government, instead of making it a caretaker one; to draft a civil participation bill providing a 50% civil quota in all institutions; to return 51% of the energy sector shares to the state; to close the bulgarian energy holding, beh, for draining the energy sector; to summon the grand national assembly, establishing a procedure to recall mps.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,745,816,621 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK