Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kisawe cha hatia
synonym for guilt
Last Update: 2022-06-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hasira ni hatia:
the anger is culpable:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
damu ya wasio na hatia
blood of the innocent
Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jina langu ni wasio na hatia
my name is innocent
Last Update: 2016-08-29
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
ningepedna kusisitiza kwamba sina hatia.
i would like to reaffirm that i am innocent.
Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilijisikia mwenye hatia, hatia kubwa.
i felt guilt, huge guilt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mlipuko huo ulipelekea watu 12 wasio na hatia kuuawa.
the explosion resulted in 12 innocent lives being perished.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mmemhukumu na kumwua mtu asiye na hatia, naye hakuwapigeni.
ye have condemned and killed the just; and he doth not resist you.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akipatwa na hatia, anaweza kufungwa kwa miaka isiyozidi 43.
if found guilty, he can be detained for a maximum of 43 years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kesi yake ilisikilizwa na hakukutwa na hatia lakini bado anashikiliwa gerezani.
he was tried and acquitted, but he still remains in jail.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uislam hauna hatia kwa watu wanaouawa huko misri, lebanon na syria.
islam is innocent of the blood being spilled today in egypt, lebanon and syria
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote.
for whosoever shall keep the whole law, and yet offend in one point, he is guilty of all.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
afrika na waafrika hawana hatia na kosa lolote lenye mwonekano usiowa kimantiki.
africa and africans are not liable guilty of any offence in the form of irrationality.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
imejitolea kutoa taarifa juu ya kesi ya wanablogu na waandishi wa habari wasio na hatia.
it is dedicated to report on the trial of innocent bloggers and journalists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwimbaji huyo alipatwa na hatia, lakini mashaka makubwa yanazunguka maeneo mengi ya kesi hiyo.
the singer pleaded guilty, but serious doubts were raised about many aspects of the case.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aliua roho mbili, roho zisizo na hatia kwa sababu ya chuki isiyoona pamoja na ubaguzi.
he killed two souls, innocent souls because of blind hate and racism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
el15abeth: vyombo vya habari vya kiraia havina ukomo ... tunajua kwamba prita hana hatia.
el15abeth: social media does not expire..we know prita is innocent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mfano, kama kuna mtu mwenye kesi ambayo haina ushahidi wa maana ili kumpata na hatia, lakini .
say, there is someone whose case lacks any evidence needed to prove guilt, but .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anastahili kuwa jela kwa maisha yake yote yaliyobaki kwa kutoa maisha ya roho zisizo na hatia na kuota uhai wa mama kutoka kwa mwanawe.
he deserves to be behind bars for the rest of his life for taking the life of innocent souls and take the life of a mother from her child
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mara nyingine watu wetu wa usalama wamewaangusha wakenya wasio na hatia wanaowalipa kwa jasho la kodi zao. ni jambo la aibu sana!
once again the security personnel failed the innocent kenyans who pay them their hard earned taxes. its really shame!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: