Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
charlie m. anaelezea nini kilichoko hatarini :
charlie m. explains what was at stake :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hakika kilichoko kwa mwenyezi mungu ndicho bora kwenu, ikiwa mnajua.
indeed, what is with allah is best for you, if only you could know.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kituo cha berkman kilichoko chuo kikuu cha harvard kinaripoti kuwa, zaidi ya blogu 60,000 ndani ya irani huwa zinaongezwa habari mara kwa mara.
the berkman center at harvard university reports that more than 60,000 blogs in iran are continually updated.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mnafiki wewe! ondoa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako na hapo ndipo utaona waziwazi kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako.
thou hypocrite, first cast out the beam out of thine own eye; and then shalt thou see clearly to cast out the mote out of thy brother's eye.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu ya l'express mada ilitoa taarifa kwamba kijiji kizima cha andranondambo kilichoko kusini mwa madagascar kiliharibiwa kufuatia mapigano ya wanakijiji yaliyosababishwa na mzozo wa kumiliki ardhi.
l'express mada reports that the entire village of andranondambo in the south of madagascar was destroyed during an inter-village conflict that stems from a dispute over land rights.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi vyote mlivyo pewa ni starehe ya maisha ya dunia tu, lakini kilichoko kwa mwenyezi mungu ni bora, na cha kudumu kwa ajili ya walio amini, na wakawa wanamtegemea mola wao mlezi,
now whatever ye have been given is but a passing comfort for the life of the world, and that which allah hath is better and more lasting for those who believe and put their trust in their lord,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
chama hicho kikuu cha upinzani npp kimeyapinga matokeo ya uchaguzi wa rais mwaka 2012, kikiituhumu tume ya uchaguzi kutumiwa na chama kilichoko madarakani, national democratic congress (ndc) kuiba kura.
the largest opposition party in ghana, the new patriotic party (npp) has challenged the results of the 2012 presidential election, accusing the electoral commission of ghana of colluding with the incumbent, national democratic congress (ndc) to steal votes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
riwaya hiyo, kwa kipindi fulani, ilizuiliwa nchini sudani kwa vile ilijumuisha lugha ya picha za ngono, hata hivyo imetambuliwa kama “riwaya ya muhimu zaidi ya kiarabu kwenye karne ya 20” na chuo cha fasihi cha kiarabu kilichoko mjini damascus, siria.
the novel was, at one point, banned in sudan for its inclusion of sexual imagery, yet it was declared “the most important arabic novel of the 20th century” by the syrian-based arab literary academy in damascus.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: