Results for kiteknolojia translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kiteknolojia

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ubunifu wa kiteknolojia

English

technological innovations to track counterfeit drugs

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nights awataka wanawake wengi zaidi wajihusishe na masuala ya kiteknolojia

English

nights calls for more female techies

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nina furaha kwamba hatimaye, suluhisho ya kiteknolojia limepatikana na kuwaunganisha wabunge na wananchi

English

glad that finally, a technological solution has been found to connect legislators to p'ple — qatahar raymond (@qataharraymond) february 26, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunasikitika kwa matatizo kadhaa ya kiteknolojia na usikivu usioridhisha wa sauti kwenye mazungumzo haya.

English

many apologies for some of the technical and audio trouble we had in this hangout.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

suluhisho hili la kiteknolojia, yeye anadai lilimaliza tatizo la rushwa kwenye usambazaji mbolea:

English

this technology-mediated solution, he asserts, ended the corruption associated with fertilizer distribution:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dalili za maendeleo ya kiteknolojia ni kwamba rwanda ni nchi yenye mafanikio ya juu zaidi miongoni mwa nchi za afrika zinazoshiriki kwenye mpango uitwao kompyuta moja kwa kila mtoto.

English

a further sign of advancing access to new technologies is that rwanda is the highest achiever among the african countries participating in the program one laptop per child.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

changamoto katika nchi hizi ni kuwa lazima wakaguzi watumie njia ambazo zina ubunifu mkubwa, uangalizi wa kiteknolojia, usio na gharama kubwa lakini ambao ni madhubuti.

English

challenges in developing countries mean that investigators have to think creatively and come up with effective analytical techniques that cost pennies and are robust.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wiki ya mitandao ya kiraia lagos ndio kwanza mwaka wake pili kufanyika na tayari imepata umaarufu kama mkutano mkubwa zaidi wa kiteknolojia, mitandao ya kijamii na kibiashara barani afrika.

English

smw lagos is only in it’s 2nd year and has already claimed its place as the largest, tech, new media and business conference on the continent of africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya vijanafm inaorodhesha miradi ya kibunifu ya kiteknolojia zinazohusisha utoaji taarifa wa mtu-kwa-mtu kuhusiana na masuala ya uchaguzi:

English

vijanafm blog lists technology initiatives that revolve around people-to-people reporting on election issues:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@techloy ni blogu inayoongoza katika masuala ya kiteknolojia, inayoleta habari mpya mpya za teknolojia, inayotoa tathmini za kampuni an kiradi inayozinduliwa pamoja na tathmini za bidhaa mpya.

English

@techloy is nigeria's leading technology blog, breaking the biggest tech stories, providing local startup and product reviews.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anajua kwamba pesa wanazotuma raia waishio nje ya nchi hivi sasa zinaelekezwa katika kujenga barabara, viwanja vya ndege, miji ya kiteknolojia nchini naijeria, kenya na sasa jamhuri ya sudani kusini?

English

is he aware that remittances from the diaspora are currently being harnessed to build roads, airports, and technological cities in nigeria, kenya and recently the republic of southern sudan?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkutano wa tm utajikita kwenye namna habari na uandishi wa habari unavyoweza kuleta mabadiliko chanya kwa kubadili mitazamo, kuleta ufumbuzi wa kiteknolojia, kukuza uelewa, kuhamasisha uwajibikaji, na zaidi kusambaza furaha.

English

the tmsummit will focus on how stories and media can create positive change by changing attitudes, bringing new technology solutions, awareness raising, inspiring action, or simply spreading happiness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati ambapo hivi sasa ni jambo la kawaida kuona blogu nyingi zinazoanzishwa na vijana wanaojadili masuala ya kijamii, ya kiteknolojia au ya kibinafsi, sasa kuna hata pia blogu zenye kubeba ujumbe wa imani ya buda kama vile bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.

English

while it is now common to see many blogs initiated by young people who discuss social, technological or personal issues, there are now buddhism-themed blogs such as bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kubadili hali hii, samiri, mwandishi wa blogu ya startup brics ilijikita kwenye miradi mipya katika nchi zinazoendelea, aliandaa safari za kiuchunguzi zilizoitwa mradi wa techafrique ili kugundua na kuorodhesha miradi iliyopo na ile mipa, miradi ya fablabs, na kwenye maeneo mengine yanayofanana na hayo katika ubunifu wa kiteknolojia katika nchi zizungumzao kifaransa pamoja na kenya.

English

to change this, samir, author of the blog startup brics that specializes in start-ups in the emerging countries, organized a field mission called the techafrique project to identify and list technology initiatives, start-ups, fablabs projects, and other co-working places of tech creativity in francophone africa and kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,739,304,029 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK