Results for kitovu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kitovu

English

hub

Last Update: 2021-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

chini ya kitovu

English

below the navel

Last Update: 2021-01-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ev: alikuwa palepale jijini port-au prince, palepale kwenye kitovu cha tetemeko hilo.

English

ev: she was in port-au prince itself, the epicentre of the quake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama jibu ni wale wasiokuwa na ajira, ni nini hasa wanazalisha ambacho hakijaiifanya nigeria kuwa kitovu cha uzalishaji wa chakula?

English

if their answer is the former, what exactly are they producing that nigeria has not become a hub of everything food?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kilikuwa ni kitovu cha mgogoro kati ya serikali ya uganda na waasi wa lord’s resistance army (lra).

English

it was the center of conflict between the government of uganda and the lord’s resistance army (lra).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

taswira hii kutoka katika kituo cha setilaiti cha habari zinazohusu majanga inapima umbali kutoka kwenye kitovu cha tetemeko hadi kwenye maeneo waliyokuwa wakii shi watu kablka ya tetemeko huko kusini mwa haiti.

English

this image from the center for satellite based crisis information measures distances from the quake’s epicenter to where people lived in southern haiti pre-quake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

likiwa na idadi ya watu wapatao milioni 20, lagos ndilo jiji kubwa la watu weusi duniani na inasemekana ni kitovu cha bara la afrika na makazi ya makampuni makubwa ya kibiashara na kiteknolojia katika bara la afrika.

English

with a population of over 20m lagos is the largest black city in the world and is arguably the epicenter of the continent and home to the powerhouses of africa’s creative, business and tech communities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mujibu wa ramani, na japokuwa halijatambulishwa rasmi kwa jina kwenye taarifa nyingi za habari , jimbo la leogane huko haiti ndilo lilikuwa kitovu cha tetemeko, na lina sehemu kadhaa zinazokaliwa na watu wengi.

English

according to the map, the hatian state of leogane, though it has not been identified by name in many news reports, was the quake’s epicenter, and contains several heavily-populated areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika kitovu cha mlipuko huko italia, castiglione d'adda, kijiji kidogo cha watu 4600, 80 (asilimia 1.7) tayari wamekufa.

English

in the epicentre of the outbreak in italy, castiglione d'adda, a small village of 4600, 80 (1.7%) are already dead.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwaka 2006, mtengeneza program za kompyuta aitwaye goran slakeski alianzisha tovuti za slikicki.com ambazo zimekuwa kitovu cha jamii ya watu wanaopenda kubadilishana 'stika', akipanua wigo mara chache kwenda kwenye matukio halisi mtaani kama hili lililofanyika.

English

in 2006, local programmer goran slakeski founded the website slikicki.com which has been the center of an online sticker exchange community, extending its reach with occasional offline events such as this one.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,746,957,500 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK