Results for kuchoka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuchoka

English

weary

Last Update: 2016-03-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuchoka akili

English

confusing my mind

Last Update: 2021-07-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inaanza kuchoka.

English

it’s getting very tired.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuchoka in english

English

bored in english

Last Update: 2018-04-02
Usage Frequency: 4
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuchoka kwa tairi ya gari

English

slip off for a car tire

Last Update: 2017-03-05
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuchoka (verb), muchoko or mchoko (noun, adj. ...)

English

bored, tired

Last Update: 2013-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya watu walizimia kwenye mistari mirefu benki wakati wa kufungua shule kwa sababu ya kuchoka kusubiri

English

@safaricomltd #beforempesa some people collapsed in long queues in banks during school opening days just waiting pic.twitter.com/6wsdtt5uhk — christine mak (@christinemak1) march 14, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ambaye kwa fadhila yake ametuweka makao ya kukaa daima; humu haitugusi taabu wala humu hakutugusi kuchoka.

English

who, of his grace, hath installed us in the mansion of eternity, where toil toucheth us not nor can weariness affect us.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninawapongeza wote waliofanya kazi kimya kimya, pasipo kuchoka na kwa umakini mkubwa kwa miaka yote hii ili kupigania manufaa ya umma mpana zaidi.

English

i celebrate all who have worked silently, tirelessly and with so much care all these years for the greater good of others.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mkusanyiko wa kiraia la misri mosireen umekuwa, bila kuchoka, ukiweka kumbukumbuza mapinduzi ya januari 25 na matukio yaliyofuata baadae kwa kutumia picha na dokumentari.

English

the egyptian citizen collective mosireen has been tirelessly documenting the #jan25 revolution and the events that followed in images and documentaries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

salini daima, mkiomba msaada wa mungu. salini kila wakati kwa nguvu ya roho. kesheni bila kuchoka mkisali kwa ajili ya watu wote wa mungu.

English

praying always with all prayer and supplication in the spirit, and watching thereunto with all perseverance and supplication for all saints;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

irfan khudi ali, mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu ambaye bila kuchoka aliweka wazi uonevu wa kikabila unaofanywa kwa washia wa hazara nchini pakistan, alifariki katika shambulio lililofuata.

English

irfan khudi ali, a prominent human rights activist who tirelessly highlighted the persecution of hazara shia in pakistan, passed away in the second attack.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni kiongozi wa taasisi ya creative commons nchini syria na anafanya kazi bila kuchoka kwenye miradi kama mozilla firefox na wikipedia, na amejizolea sifa kwa kufungua mtandao wa intaneti nchini syria na kupanua upatikanaji na uelewa wa mtandao kwa wananchi.

English

he is a creative commons leader in syria and active in projects like mozilla firefox and wikipedia, and is credited with opening up the syrian internet and extending online access and knowledge to the public.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati hali nchini burkina faso bado haijatengemaa, hatua hiyo ilikuwa ya muhimu, kwa sababu wananchi waliunga mkono mapinduzi hayo, kwa sababu ya kuchoka utawala wa miongo kadhaa wa compaore(..)lakini hali nchini burundi ni tofauti kidogo, hususani kwa kurejea historia ya vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo iliyokwisha mwaka 2005.

English

while the situation in burkina faso is still in flux, it was a key moment, as the public massively supported the coup, fed up with compaore’s decades-long rule (..)but the situation in burundi is also different, particularly given the protracted civil war which ended in 2005.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,747,248,293 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK