Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanafunzi hawakufahamu jambo hilo. wakaogopa kumwuliza.
but they understood not that saying, and were afraid to ask him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine.
and after that they durst not ask him any question at all.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.
and no man was able to answer him a word, neither durst any man from that day forth ask him any more questions.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini wao hawakuelewa maana ya usemi huo. jambo hilo lilikuwa limefichwa kwao ili wasitambue; nao wakaogopa kumwuliza juu ya msemo huo.
but they understood not this saying, and it was hid from them, that they perceived it not: and they feared to ask him of that saying.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
walipozidi kumwuliza, yesu akainuka, akawaambia, "mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe."
so when they continued asking him, he lifted up himself, and said unto them, he that is without sin among you, let him first cast a stone at her.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu alipoona kwamba huyu mtu alimjibu kwa ujasiri, akamwambia, "wewe huko mbali na ufalme wa mungu." baada ya hayo, hakuna mtu aliyethubutu tena kumwuliza kitu.
and when jesus saw that he answered discreetly, he said unto him, thou art not far from the kingdom of god. and no man after that durst ask him any question.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu akawaambia, "njoni mkafungue kinywa." hakuna hata mmoja wao aliyethubutu kumwuliza: "wewe ni nani?" maana walijua alikuwa bwana.
jesus saith unto them, come and dine. and none of the disciples durst ask him, who art thou? knowing that it was the lord.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting