Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
karibu asilimia 80 ya maambuzi inasababisha dalili kidogo, huku iliyosalia inaweza kusababishwa kulazwa hospitalini.
about 80% of infections result in mild symptoms, while the remaining may result in hospitalization.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kampeni hii imeweka video inayoweza kukutoa machozi kuonyesha kile ambacho kinaweza kusababishwa na kukumbatia mzee:
the campaign posted a tear-jerking video showing what sharing a hug might look like:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
virusi vya korona viligunduliwa kwa mara ya kwanza miaka ya 1930 wakati maambukizo kali yanayohusiana na upumuaji katika kuku wa nyumbani ulionekana kusababishwa na virusi vya kuambukiza vya mkamba.
coronaviruses were first discovered in the 1930s when an acute respiratory infection of domesticated chickens was shown to be caused by infectious bronchitis virus (ibv).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
uchomaji wa misitu ni unasemekana kusababishwa na shughuli za kilimo cha mashamba makubwa ya mafuta ya mawese, makubaliano ya uuzaji wa kuni, na mashamba ya mashapo.
the burning of forests is blamed on the operations of oil palm plantations, wood suppliers’ concessions, and pulpwood plantations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
koaci.com aliye na maskani yake huko ivory coast aligundua kuwa msichana wa ivory coast alikutwa na mauti kwa kile kinachosadikiwa kuwa alitupwa kutoka ghorofa ya 6 kutokana na ugomvi kati yake na mwajiri wake, ugomvi unaosadikiwa kusababishwa na mwajiri wa msichana huyo kutokumpa mishahara yake.
ivory coast-based koaci.com has learned that a young ivorian woman was found dead after having been reportedly pushed off the 6th floor of an apartment following a suspected feud with her sponsor concerning her salary payment.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ingawa kifo cha dikteta huyo katili zaidi duniani ni tukio ambalo raia wengi wa korea kusini wangelifurahia, wengi wameonyesha mashaka kwa kuwa tukio hilo lilimaanisha kuanza kwa hali tete ya usalama inayoweza kusababishwa na kifo hicho katika pembe ya bahari (peninsula) ya korea.
although the death of one of the world's most notorious dictators is something people might welcome, most south koreans have expressed concern about the instability his sudden death might bring to korean peninsula.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: