Results for kusali translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kusali

English

to pray

Last Update: 2022-02-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwezi wa kusali rozalia takatifu

English

holy rosary

Last Update: 2022-10-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kuwaaga watu alikwenda mlimani kusali.

English

and when he had sent them away, he departed into a mountain to pray.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na waamrishe watu wako kusali, na uendelee mwenyewe kwa hayo.

English

order your family to pray and be patient in it.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, akawaacha, akaenda tena kusali mara ya tatu kwa maneno yaleyale.

English

and he left them, and went away again, and prayed the third time, saying the same words.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati wengine wakihitaji mambo mengine zaidi kufanyika mbali na kusali:

English

while others called for more than prayer:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku moja yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akimwomba mungu.

English

and it came to pass in those days, that he went out into a mountain to pray, and continued all night in prayer to god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, yesu aliwasimulia mfano kuonyesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.

English

and he spake a parable unto them to this end, that men ought always to pray, and not to faint;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: baba yetu uliye mbinguni: jina lako litukuzwe.

English

after this manner therefore pray ye: our father which art in heaven, hallowed be thy name.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huwadhulumu wajane huku wakisingizia kuwa wema kwa kusali sala ndefu. hao watapata hukumu kali zaidi!"

English

which devour widows' houses, and for a shew make long prayers: the same shall receive greater damnation.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hawa wote waliendelea kujifunza kutoka kwa mitume, kuishi pamoja kidugu, kumega mkate na kusali.

English

and they continued stedfastly in the apostles' doctrine and fellowship, and in breaking of bread, and in prayers.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na tafuteni msaada kwa kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika jambo hilo ni gumu isipokuwa kwa wanyenyekevu,

English

and seek assistance through patience and prayer, and most surely it is a hard thing except for the humble ones,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yapata siku nane baada ya kusema hayo, yesu aliwachukua petro, yohane na yakobo, akaenda nao mlimani kusali.

English

and it came to pass about an eight days after these sayings, he took peter and john and james, and went up into a mountain to pray.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanamke mjane kweli, asiye na mtu wa kumsaidia, amemwekea mungu tumaini lake na huendelea kusali na kumwomba msaada usiku na mchana.

English

now she that is a widow indeed, and desolate, trusteth in god, and continueth in supplications and prayers night and day.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka mwenyezi mungu na kusali.

English

by intoxicants and games of chance satan only desires to create enmity and hatred between you, and to turn you away from the remembrance of allah and from prayer.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kesho yake, hao watu watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika yopa, petro alipanda juu ya paa la nyumba yapata saa sita mchana ili kusali.

English

on the morrow, as they went on their journey, and drew nigh unto the city, peter went up upon the housetop to pray about the sixth hour:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisha akawaambia, "kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu."

English

watch ye and pray, lest ye enter into temptation. the spirit truly is ready, but the flesh is weak.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? anapaswa kusali. je, yuko mwenye furaha? anapaswa kuimba nyimbo za sifa.

English

is any among you afflicted? let him pray. is any merry? let him sing psalms.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka mwenyezi mungu na kusali. basi je, mmeacha?

English

satan only seeketh to breed animosity and spites among you by means of wine and gambling and would keep you from the remembrance of allah and from prayer; will ye not then desist?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, ikawa kwamba baba yake publio alikuwa amelala kitandani, mgonjwa, ana homa na kuhara. paulo alikwenda kumwona na baada ya kusali, akaweka mikono yake juu ya mgonjwa, akamponya.

English

and it came to pass, that the father of publius lay sick of a fever and of a bloody flux: to whom paul entered in, and prayed, and laid his hands on him, and healed him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,739,861,533 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK