Results for kutapika translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kutapika

English

vomiting

Last Update: 2014-08-24
Usage Frequency: 5
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nina kikohozi kikavu, homa na mafua, kutapika na kuendesha

English

have a dry cough a cold and runny nose vomiting diarrhea

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

dalili kwenye tumbo kama vile kichefuchefu, kutapika, kuhara zimeonekana katika asilimia tofauti.

English

gastrointestinal symptoms such as nausea, vomiting and diarrhoea have been observed in varying percentages.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kuendesha, kichefuchefu, kutapika, kuharibika kwa ini na hali nyingine mbaya zinaweza kutokea kufuatia jumla ya tiba na lopinavir/ritonavir.

English

diarrhea, nausea, vomiting, liver damage, and other adverse reactions can occur following combined therapy with lopinavir/ritonavir.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa kule kuufungua mdomo wake kwa upana na kutapika upuuzi wa hatari kama huo, bw. opoku-manu amejionyesha mwenyewe kuwa mtu asiyewajibika ambaye hastahili kukalia nafasi aliyonayo.

English

for opening his mouth too wide to spew such dangerous nonsense, mr. opoku-manu has shown himself to be an irresponsible man who doesn’t deserve to occupy the position he does.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

dalili zisizo za kawaida ni pamoja na uchovu, utoaji wa kikohozi ya kupumua (kohozi), kupoteza hisia ya kunusa, kushindwa kupumua vizuri, maumivu wa misuli na viungo, maumivu ya koo, kuumwa na kichwa, kuhisi baridi, kutapika, kukohoa damu, kuendesha, au ngozi kuwa na rangi ya samawati. shirika la afya duniani inasema kuwa takriban mtu moja kati ya sita huugua sana na huwa na shida kupumua.

English

less common symptoms include fatigue, respiratory sputum production (phlegm), loss of the sense of smell, shortness of breath, muscle and joint pain, sore throat, headache, chills, vomiting, hemoptysis, diarrhea, or cyanosis.the who states that approximately one person in six becomes seriously ill and has difficulty breathing.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,725,236,829 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK