Results for kutolea translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kutolea

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

makala za william zimeamsha fikra na mijadala katika sehemu ya kutolea maoni ya blogu hiyo na kwingineko.

English

williams's posts have provoked thought and discussion both in the blog's comments fields and elsewhere.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kabwe na watu wengine walijibu hoja za tpdc katika twita. kabwe aliitaka tpdc kutolea ufafanuzi wa makubaliano yaliyofikiwa.

English

kabwe and others countered the tpdc’s comments on twitter, and kabwe called on the tpdc to clarify the terms of the deal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kuhani mkuu ameteuliwa kumtolea mungu vipawa na dhabihu, na hivyo kuhani mkuu wetu lazima pia awe na kitu cha kutolea.

English

for every high priest is ordained to offer gifts and sacrifices: wherefore it is of necessity that this man have somewhat also to offer.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwa vile yeye mwenyewe ni dhaifu, anapaswa kutolea dhabihu si tu kwa ajili ya watu, bali pia kwa ajili ya dhambi zake.

English

and by reason hereof he ought, as for the people, so also for himself, to offer for sins.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu kwa ajili ya kumtumikia mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi zao.

English

for every high priest taken from among men is ordained for men in things pertaining to god, that he may offer both gifts and sacrifices for sins:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwendeeni yeye kama mawe hai mkajengeke na kuwa nyumba ya kiroho, ambamo mtatumikia kama makuhani watakatifu, kutolea dhabihu za kiroho zenye kumpendeza mungu kwa njia ya yesu kristo.

English

ye also, as lively stones, are built up a spiritual house, an holy priesthood, to offer up spiritual sacrifices, acceptable to god by jesus christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufanya vikao na watalamu wa tiba mbadala wawli,wakunga wa jadi wa nne nan na wahudumu wa afya ngazi ya jamii 16 kwa dhumuni la kuwaleta mapema wagonjwa katika kituo cha kutolea huduma kwa matibabu wa siku tano ifikapo june 2018

English

to perform sessions with alternative veterinarian practitioners, four-year midwives and 16 community healthcare staff for the purpose of bringing patients to the treatment center for five-day treatment by june 2018

Last Update: 2017-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mujibu wa sheria ya macedonia ya uhuru wa kupata taarifa ya kanuni ya umma, mamlaka za serikali zinalazimika kutolea majibu ya maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) ndani ya siku 30.

English

according to macedonia's law on freedom of access to information of public character, state bodies are under obligation to respond to written foi requests within 30 days.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tumetengeneza ramani ya kuonyesha maeneo ya kutolea damu, kama sehemu ya juhudi za kuyaoanisha maeneo haya na wale wanaojisikia kusaidia blooddonationkenya.crowdmap.com, ama kwa kutoa damu, vifaa vya kitabibu au watu wenye ujuzi wa mambo ya afya.

English

we set up a crowdmap deployment to map our all locations of blood drive centers, in an effort to match these areas with those willing to help at blooddonationkenya.crowdmap.com, either through blood donation, medical instruments or medical personnel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

English

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,742,737,435 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK