Results for miiba translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

miiba

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

polisi waliwalazimisha waandamanaji kutawanyika na waliweka miiba na uzio kuwazuia kuzudi.

English

police forced the protesters from their gathering spots and set up barbed-wire fences and barricades to prevent them from coming back.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka kati ya miti ya miiba. ile miti ya miiba ilipoota ikazisonga.

English

and some fell among thorns; and the thorns sprang up with it, and choked it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.

English

and they clothed him with purple, and platted a crown of thorns, and put it about his head,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga, nazo hazikuzaa nafaka.

English

and some fell among thorns, and the thorns grew up, and choked it, and it yielded no fruit.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.

English

and the soldiers platted a crown of thorns, and put it on his head, and they put on him a purple robe,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mofolojia hii imeundwa na miiba ya glikoprotini kwenye virusi, ambayo ni protini kwenye uso wa virusi.

English

this morphology is created by the viral spike peplomers, which are proteins on the surface of the virus.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtawatambua kwa matendo yao. je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? la!

English

ye shall know them by their fruits. do men gather grapes of thorns, or figs of thistles?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kama ardhi hiyo ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.

English

but that which beareth thorns and briers is rejected, and is nigh unto cursing; whose end is to be burned.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ile mbegu iliyoanguka kati ya miti ya miiba, ni mfano wa mtu asikiaye huo ujumbe, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu na anasa za mali huusonga ujumbe huo, naye hazai matunda.

English

he also that received seed among the thorns is he that heareth the word; and the care of this world, and the deceitfulness of riches, choke the word, and he becometh unfruitful.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwesi pratt, mchambuzi wa jamii na mhariri mtendaji wa jarida la the insight, alimlaumu rais msaafu jerry john rawlings kwa kuweka miiba kwenye uendeshaji mwanana wa utawala wa rais john evans atta mills.

English

kwesi pratt, social critic and managing editor of the insight, has taken a swipe at former president jerry john rawlings for putting spokes in the smooth running of the administration of president john evans atta mills.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zile zilizoanguka kwenye miti ya miiba ni watu wale wanaosikia lile neno, lakini muda si muda, wanapokwenda zao, husongwa na wasiwasi, mali na anasa za maisha, na hawazai matunda yakakomaa.

English

and that which fell among thorns are they, which, when they have heard, go forth, and are choked with cares and riches and pleasures of this life, and bring no fruit to perfection.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani, wakamwekea pia mwanzi katika mkono wake wa kulia. wakapiga magoti mbele yake, wakamdhihaki wakisema, "shikamoo mfalme wa wayahudi!"

English

and when they had platted a crown of thorns, they put it upon his head, and a reed in his right hand: and they bowed the knee before him, and mocked him, saying, hail, king of the jews!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,729,179,110 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK