From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mkoa wa maziwa makuu
great lakes region
Last Update: 2013-03-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mola mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili.
lord of the two easts and lord of the two wests.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
silaha ambazo waislam watazitumia kuteka nyara zaidi raia wa magharibi na kuwaua waafrika wengi.
weapons with which the islamists will kidnap more westerners and murder many africans.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kushirikiana katika shughuli mbalimbali ndani ya umoja wetu katika mkoa wa mwanza
Last Update: 2021-05-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ni sikukuu ya kuzaliwa kristo mjini betlehemu, katika ukanda wa magharibi, palestina, mahali alipozaliwa kristo.
it's christmas in bethlehem, in the west bank, palestine, the birth place of jesus christ.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuandikishwa huku kulikuwa mara ya kwanza, wakati kirenio alipokuwa mkuu wa mkoa wa siria.
(and this taxing was first made when cyrenius was governor of syria.)
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hawakuwa na umeme kama kawaida, nikamueleza juu ya maandamano na ghasia zinazotokea ukingo wa magharibi na mvua za kuungwa mkono zinazomwagika duniani kote.
they had no power, as usual, so i told him about the ongoing demonstrations and clashes in the west bank and the outpouring of support across the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bado akiwa kwenye suala la kupambana na rushwa na ufujaji wa viongozi wa afrika, oyez ana ushauri kwa viongozi wa magharibi kama obama:
still on the issue of tackling corruption and embezzlement by african leaders oyez has some advice to western leaders like obama:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mkoa wa altai katika jimbo la xinjiang ilitekeleza mfumo wa kutoa taarifa yakipato katika mwezi januari 2009.
altai county in the western province of xinjiang implemented an income-reporting system for officials in january 2009.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maandamano yanazidi kushamiri katika nchi ya palestina hususani katika majiji ya ukanda wa magharibi ambayo ni: hebron, ramallah, bethlehem na nablus.
protests are growing in the palestinian territories, especially in the major cities of the west bank: hebron, ramallah, bethlehem and nablus.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
al octaviano, mkazi wa mkoa wa leyte, alisema kuwa mingi ya miili ya waliokufa hairipotiwi kwa mamlaka:
al octaviano, a resident of leyte province, said that many dead bodies are not being reported to authorities:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mnamo tarehe 6 disemba, 2011, redio free europe/redio liberty ilitoa taarifa ya kujiua kwa msichana huko kwenye mji wa magharibi ya uzbek uitwao andijan.
on 6 december, 2011, radio free europe/radio liberty reported on a suicide committed by a young woman in the western uzbek city of andijan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dr. atuguba katika mahojiano yake kwenye kipindi cha citi breakfast jumatano alisema kiini cha maslahi ya wanajeshi hao nchini ghana ni kuwafundisha kuwa walinzi wa maslahi yao wananchi wa mkoa wa magharibi wa ghana, ambako kwenye ufukwe wake, nchi itakuwa ikichimba mafuta.
dr. atuguba in an interview on the citi breakfast show on wednesday said the essence of militants' interest in ghana is to mentor folks in the western region of ghana, on whose offshore, the country will be drilling oil to be protective of their interest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
madhumuni ya mkopo ni kuhusu watoto wangu wa kike, nina watoto mapacha wanaumwa homa ya ini na nahitaji mkopo ili waende hospitali ya bugando iliopo mkoa wa mwanza kwa ajili ya vipimo na dawa
the purpose of the loan is about my girlfriends, i have twin babies suffering from liver fever and i need a loan to go to the existing bugando hospital for the primary region for tests and medications
Last Update: 2018-01-09
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
@johnlyndon1: kujitoa mhanga kwa kujiunguza kwa moto katika mji wa gaza; kujichoma kwa moto kwa fayyad huko hebron; maandamano katika majiji muhimu huko ukanda wa magharibi.
@johnlyndon1: self immolation in gaza; fayyad effigy burning in hebron; protests in major west bank cities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: