Results for mwadilifu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwadilifu

English

the meaning of the righteous in swahili

Last Update: 2023-05-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kinyume cha neno mwadilifu

English

l'opposé du mot juste

Last Update: 2024-04-16
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

ndiyo maana mungu alimkubali kuwa mwadilifu.

English

and therefore it was imputed to him for righteousness.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama maandiko matakatifu yasemavyo: "hakuna hata mmoja aliye mwadilifu!

English

as it is written, there is none righteous, no, not one:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria.

English

therefore we conclude that a man is justified by faith without the deeds of the law.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu ambaye mungu amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake:

English

even as david also describeth the blessedness of the man, unto whom god imputeth righteousness without works,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana kwa maneno yako, utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako, utahukumiwa kuwa na hatia."

English

for by thy words thou shalt be justified, and by thy words thou shalt be condemned.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini tukiziungama dhambi zetu, basi mungu ni mwaminifu na mwadilifu, naye atatusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote.

English

if we confess our sins, he is faithful and just to forgive us our sins, and to cleanse us from all unrighteousness.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri.

English

then joseph her husband, being a just man, and not willing to make her a publick example, was minded to put her away privily.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sipendi kuikataa neema ya mungu. kama mtu huweza kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya sheria, basi, kristo alikufa bure!

English

i do not frustrate the grace of god: for if righteousness come by the law, then christ is dead in vain.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnajua kwamba kristo ni mwadilifu kabisa; basi, mnapaswa kujua pia kwamba kila mtu atendaye mambo adili ni mtoto wa mungu.

English

if ye know that he is righteous, ye know that every one that doeth righteousness is born of him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jomanex, mwanablogu aliye uhamishoni, mwenzake na rafiki yake, mara nyingi hupenda kumwita edom ‘ mrembo mwadilifu’.

English

jomanex, an exiled blogger, a colleague and friend often calls edom ‘miss integrity’.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mtu asiyetegemea matendo yake mwenyewe, bali anamwamini mungu ambaye huwasamehe waovu, basi, mungu huijali imani ya mtu huyo, na hivi humkubali kuwa mwadilifu.

English

but to him that worketh not, but believeth on him that justifieth the ungodly, his faith is counted for righteousness.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sasa, wakati huu, anazikabili dhambi za watu apate kuonyesha uadilifu wake. kwa namna hiyo mungu mwenyewe huonyesha kwamba yeye ni mwadilifu na kwamba humkubali kuwa mwadilifu mtu yeyote anayemwamini yesu.

English

to declare, i say, at this time his righteousness: that he might be just, and the justifier of him which believeth in jesus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni dhahiri kwamba sheria haiwezi kumfanya mtu akubaliwe kuwa mwadilifu; maana maandiko matakatifu yasema: "mwadilifu kwa imani ataishi."

English

but that no man is justified by the law in the sight of god, it is evident: for, the just shall live by faith.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watoto wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. lakini, ikijatokea mtu akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa baba, ndiye yesu kristo aliye mwadilifu kabisa.

English

my little children, these things write i unto you, that ye sin not. and if any man sin, we have an advocate with the father, jesus christ the righteous:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo yakatimia yale maandiko matakatifu yasemayo: "abrahamu alimwamini mungu na kwa imani yake akakubaliwa kuwa mtu mwadilifu; na hivyo abrahamu akaitwa rafiki wa mungu."

English

and the scripture was fulfilled which saith, abraham believed god, and it was imputed unto him for righteousness: and he was called the friend of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa maana habari njema inaonyesha wazi jinsi mungu anavyowakubali watu kuwa waadilifu; jambo hili hufanyika kwa imani, tangu mwanzo mpaka mwisho. kama ilivyoandikwa: "mwadilifu kwa imani ataishi."

English

for therein is the righteousness of god revealed from faith to faith: as it is written, the just shall live by faith.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,740,703,498 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK