Results for ni orodha zipi za mahali pamoja? translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ni orodha zipi za mahali pamoja?

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

crt itasasisha kurasa hizi na maelezo yote katika mahali pamoja.

English

the crt will keep these pages updated and all the information in one place.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iliichukua serikali siku nne kujadili jambo hili; hatimaye ilituma ujumbe kuashiria kusitishwa kwa maandamano ya siku nne ya kukaa mahali pamoja.

English

it took the government four days to sort out this matter; finally, signalling an end to the four-day long peaceful sit-ins.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari mpya: hapa ni orodha kamili ya wagombea 49 wanaowania nafasi ya urais katika uchauzi ujao.

English

update: here is the full list of the 49 candidates for the presidential elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni orodha yetu ya watumiaji wa twita unaweza kufuatilia kazi zao wakati wa uchaguzi wa naijeria 2011 na miitikio yao kuhusiana na suala la kuahirishwa uchaguzi huo.

English

this is our list of recommended tweeps to follow during election in nigeria 2011 and their reactions to the election postponement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jiunge na kikundi chamwezi wa tisa katika mtandao wa facebook kupata habari za kujifungua za mahali unapoishi.. kupitia alama ashiria kwenye mtandao wa twita #ninthmonth

English

join the ninth month community on facebook to share stories about childbirth where you live. twitter hashtag #ninthmonth

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika majira haya ya mwaka tumeanzisha "mkutano" wetu wa kwanza rasmi wa ana kwa ana kwa kuongozwa na kuendeshwa na wanachama wa global voices, wanaoishi na kuzifahamu jamii za mahali katika nchi sita.

English

this winter we launched our first official global in-person ‘meetups’ led and facilitated by global voices members, who live and know those local communities in six countries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kila siku katika global voices wahariri na waandishi pamoja na watafsiri wetu wa kujitolea wanafanya kazi kuvuka mipaka ya nchi zao, saa za mahali waliko na kuvuka viambaza vya lugha kukuletea habari zinazotokana na sauti za wananchi wa kawaida ambazo kwa kawaida hazithaminiwi sana vyombo vikuu vya habari, kukuleta taarifa za uhuru wa kujieleza mtaoni na kuwaunga mkono wale wote wanaoungana na majadiliano haya ya mtandaoni.

English

every day at global voices our editors and volunteer authors and translators work across borders, time zones and language barriers to bring you important citizen-driven stories the mainstream media doesn't have the time or interest to cover, report on online freedom of expression and support others in joining the global conversation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,729,912,691 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK