From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ombwe la uongozi ni hatari na linawajibika kwa mauaji ya eneo la kaskazini, utekaji nyara mashariki ya nchi, magenge ya wanajeshi kubaka watu kusini mwa nchi na tofauti za kiufahamu zilizoko magharibi.
leadership vacuum is dangerous and is responsible for killings in the north, kidnapping in the east, militants gang raping in the south south and intellectual indifference in the west.
kutokuwepo kwa yar’adua kulisababisha ombwe la kiuongozi ambalo liliwasumbua wanaijeria wengi, hasa wakati ambao matatizo yalijitokeza kama pale umar abdulmutallab alipofanya jaribio la ugaidi na mgogoro wa kidini katika mji wa katikati ya naijeria wa jos.
yar'adua's absence created a leadership vacuum which frustrated many nigerians, particularly in the wake of crises such as umar abdulmutallab's attempted terror attract and the religious conflict in the central nigerian city of jos.
ombwe la kimadaraka limetosha sasa, karibu na mgogoro wa kikatiba, na kuchemka kwa machakato wa kiserikali yote yalikuwa ni kwa sababu chama tawala (pdp) hakimwamini makamu wa rais (janathan goodluck) kukaimu rasmi urais mpaka rais yar’adua atakapopona ugonjwa wake.
enough of power vacuum, near constitutional crisis, and over heating of the polity all due to the fact that the ruling party (pdp) does not trust the vice president (jonathan goodluck) to formally act as president until president yar’adua recovers from his illness.