Results for onyesha taswira ya 3d na majina y... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

onyesha taswira ya 3d na majina ya mtaa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hawa watu ni wahalifu wanaoishi kongo na ni wahalifu wanaoishi kanada na ni wahalifu wa sheria za kimataifa. (…) tunazo taarifa kutoka kwenye vyanzo vya uhakika kuhusiana na majina ya watu maarufu wa ki-kanada ambao makampuni yao yanajihusisha na unyonyaji haramu wanaoufanya kwenye madini yetu nchini kongo.

English

they are criminals in congo and they are also criminals in canada and criminals according to international laws. (...) we have information from reliable sources about all the names of all the canadian public figures whose companies are involved in the illicit exploitation of mines in congo. johannesburg also witnessed the march of hundreds of congolese nationals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kutembelea nyumba fulani ya maonesho, nilimuona jamaa mmoja akitazama orodha ya mapambano yaliyopiganwa na simón bolívar, ambaye ni mpigania uhuru wa venezuela, colombia, ecuador, perú and bolivia. kulikuwa na majina ya mapambano pasipo kuwa na kiashiria cha mahali ambapo mapambano hayo yalipofanyikia, na nilisimama pembeni mwa mtalii huyu na kisha nilianza na somo nililojifunza shuleni miaka mingi iliyopita: carabobo, venezuela; boyacá, bogotá, pichincha, ecuador; na junín na ayacucho, perú (nchi yako kwa hakika).

English

during a visit to one museum, i saw a guy looking at a list of battles fought by simón bolívar, the liberator of venezuela, colombia, ecuador, perú and bolivia. there were the names of the battles with no indication of the where they'd been fought, and i stood by next to this tourist and started with a lesson learnt long ago at school: carabobo, venezuela; boyacá, bogotá, pichincha, ecuador; and junín and ayacucho, perú (country of yours truly).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,747,033,264 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK