Results for pumba ya mahindi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

pumba ya mahindi

English

corn husk

Last Update: 2020-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

cob ya mahindi

English

maize cob

Last Update: 2023-08-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pumba ya mpunga

English

wheat flour

Last Update: 2020-01-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miaka minne baadae, ghasia zilizohusiana na bei ya mahindi ziliongezeka kiasi cha kusababisha jeshi kuingilia kati.

English

four years later, unrest over price increases even sparked a coup attempt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwaka 1986, wa_zambia wanaoishi kwenye majimbo ya copperbelt na lusaka waligoma kwa sababu bei ya mahindi ilikuwa imeongezeka mara dufu wakati kipato walichokuwa wanakipata kilibaki vile kilivyokuwa.

English

in 1986, zambians in the copperbelt and lusaka regions rioted because the price of maize increased several fold when incomes were stagnant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gharama ya visa maarufu vya ufisadi nchini kama golden berg, angloleasing, kashfa ya mahindi na mafuta, kashfa ya shilingi kwa dola ni kubwa sana. hebu tafakari kama hizi hela zingetumika kwa kuendeleza miradi ya maendeleo.

English

the combined cost of kenya’s prominent corruption scandals: goldenberg of the 90’s, anglo-leasing, maize and oil scandals of 2000’s and the dollar/kenyan shilling scandal of 2011 to the kenyan economy is no doubt significant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sehemu kubwa ya mahindi inalimwa na wakulima wadogo ambao wanakabiliwa na hali ya ukame wa mara kwa mara hata nyakati za majira ya mvua, ugavi wa mbolea usioaminika na wenye gharama kubwa, na matatizo ya usafiri kati ya mashamba yao na yaliko masoko ya mahindi.

English

the bulk of the maize is grown by peasant farmers who are faced with regular droughts during the rainy season, an unreliable and expensive supply of fertilizer, and difficulties transporting the commodity to markets.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya wa-zambia wanaotumia mitandao ya kijamii hawakukubaliana na hichilema, aliyetumia siku nzima ya uhuru kuwafariji wenye shida na kugawa magunia ya mahindi na mafuta ya kupikia, lakini haikuwa canicius banda, mmoja wa makamu rais wawili wa chama upnd waliovutia watu wengi kwenye sherehe za miaka hamsini ya uhuru kwa swali waliloliwekwa kwenye mtandao wa facebook.

English

some zambian social media users didn't agree with hichilema, who spent the day comforting the bereaved and distributing bags of corn meal and cooking oil, but it was canicius banda, one of upnd's two vice presidents, who attracted the most attention on zambia's golden jubilee with a question posed on facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,745,126,031 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK