Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mwenyekiti wa serikali za mtaa
a member of local government
Last Update: 2022-12-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
serikali za mitaa
local government
Last Update: 2023-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
afisa wa serikali za mitaa
local government chairman
Last Update: 2020-05-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
serikali za mitaa uhasibu na fedha
local government accounting and finance
Last Update: 2023-06-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tawala za mikoa na serikali za mitaa
regional administrations and local governments
Last Update: 2021-06-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
barua ya udhamini kutoka serikali za nitaa
letter of sponsorship from local governments
Last Update: 2020-09-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
c/barua ya utambulisho kutoka serikali za nitaa
c / letter of identity from local governments
Last Update: 2019-10-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sababu ni kwamba siamini kuwa serikali za kiarabu zina nia njema.
the reason for this is that i don't believe that arab governments have good intentions
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kiselyov anajulikana zaidi kwa kukosoa vikali serikali za kyiv na washington.
kiselyov is notorious for his strong criticisms of the governments in kyiv and washington.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
serikali za marekani na canada zinapendekeza kuepuka kusafiri kwa meli ya abiria.
the u.s. and canadian governments recommend avoiding travel by cruise ship.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa wale ambao wana dalili, who haipendekezi barakoa, ijapokuwa baadhi ya serikali za kitaifa zinapendekeza.
for those who are asymptomatic, the who does not recommend masks, though some national governments do.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uwekaji wazi wa hivi jkaribuni kabisa wa wikileaks hauleti jambo lolote jipya kwa serikali za kiarabu na watu wake.
wikileaks latest exposure doesn't bring anything new to arab governments and people.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa uzoefu, serikali za mitaa za china zimerithi mbinu ya kuchelewesha mambo kama namna ya kutuliza hasira za wananchi.
in the past, chinese local governments have adopted delay-tactics like this to pacify people's anger.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa bahati mbaya, serikali za mitaa zisizofanya wajibu wake zinafanya maisha yake kuwa machungu na kwa kweli inafanya iwe vigumu kupata haki yake.
sadly, the non-functional local government makes his life bitter and brutally infringes on his right to private property.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa maoni ya mtandaoni, maendeleo haya huenda yakazisukuma serikali za mikoa mingine nazo kutoa taarifa kamili za mapato yao na kuongeza uwazi.
according to online opinion, such developments may pressure other townships or higher levels of government to issue expenditure statements and increase transparency.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lengo la muda wa kati: kufuatilia kwa karibu hatua inayofuata baina ya serikali za china na taiwani na kutafsiri habari zinazojiri kwa kiingereza na lugha nyinginezo.
mid-term goal: to watch the next move between the chinese and taiwanese governments closely and translate upcoming news into english and other languages.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa makala, serikali za marekani na uingereza zina hifadhi ya madawa ya tamifluiflu yenye thamani ya mabilioni ya dola ambazo lazima wazitumie ndani ya miezi michache ijayo, vinginevyo yatapita muda wake.
according to the article, the us and uk governments have billions of dollars worth of tamifluiflu stock that they must use within the next few months, or they’ll expire.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuratibu vilivyopo kwenye mtandao siku hizi inaonekana kama ni kitendo kinachopinga demokrasia lakini serikali za kusini mashariki mwa asia zinaonekana kuweza kuhalalisha vitendo hivyo kwa kudai kuwa vinatokana na haja ya kuwaepusha vijana na majanga ya tabia za ngono za hovyo hovyo.
regulating internet content today is viewed as an anti-democratic practice but southeast asian governments seem able to justify it by invoking the need to save the young from the scourge of indecent sexual behavior.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
matukio mengi yanayohusisha watu wengi zilifutwa na serikali za taifa na za kanda, ikiwemo tamasha ya kila mwaka wa mwaka mpya, na kampuni ya kibinafsi pia zikifunga maduka yao pekee yao na kivutio cha watalii kama vile hong kong disneyland na shanghai disneyland.
a number of events involving large crowds were cancelled by national and regional governments, including annual new year festivals, with private companies also independently closing their shops and tourist attractions such as hong kong disneyland and shanghai disneyland.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hiyo tafsiri yangu ni kwamba jambo pekee jipya linalowezekana kupitia kauli kama hizi ni kuwepo kwa uwezekano kwamba sasa baadhi ya watu wanaweza kuanzisha shule za sekondari zinazofundisha kwa kiswahili, na kwamba sasa ni rasmi mamlaka za serikali za mitaa zinaweza kugeuza shule za msingi zilizopo kuwa za kiingereza.
so my interpretation is that the only new thing made possible by such statements is that it is possible now for some people to establish swahili medium secondary schools, and it is now official that local government authorities can convert existing primary schools to become english medium.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: