Results for shanga kiunoni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

shanga kiunoni

English

beads around the waist

Last Update: 2020-05-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

shanga

English

waist beads

Last Update: 2020-03-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

machozi yalimlenga lenga wakati jamaa anaweka mikoni kiunoni mwake.

English

tears stung her eyes as he put his hands on her waist.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"muwe tayari! jifungeni mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;

English

let your loins be girded about, and your lights burning;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.

English

he riseth from supper, and laid aside his garments; and took a towel, and girded himself.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, simameni imara! ukweli uwe kama ukanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani,

English

stand therefore, having your loins girt about with truth, and having on the breastplate of righteousness;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yohane alivaa vazi lililoshonwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.

English

and the same john had his raiment of camel's hair, and a leathern girdle about his loins; and his meat was locusts and wild honey.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yohane alikuwa amevaa vazi lililofumwa kwa manyoya ya ngamia, na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.

English

and john was clothed with camel's hair, and with a girdle of a skin about his loins; and he did eat locusts and wild honey;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

heri yao watumishi wale ambao bwana wao atakaporudi atawakuta wanakesha! nawaambieni hakika, huyo bwana atajifunga mkanda kiunoni, atawaketisha mezani na kuwahudumia.

English

blessed are those servants, whom the lord when he cometh shall find watching: verily i say unto you, that he shall gird himself, and make them to sit down to meat, and will come forth and serve them.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,726,573,082 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK