Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
engenerada anauliza wasomaji wake kama wana kile wanahitaji kutumia nguvu ya kisiasa.
engenerada asks its readers if they have what they need to exercise political power.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makundi yote ya wapalestinayameungana na yanampinga adui, kwa kutumia nguvu zao zote za kijeshi kwa pamoja.
all palestinian factions have united and are out facing the enemy, using all the military capabilities that they collectively have.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama yalivyokuwa maandamano ya ramat gan , kwa mara nyingine tena, polisi walivunja sheria na kutumia nguvu kuzuia maandamano.
just like the protest in ramat gan , once again, the police broke the law and forcefully prevented a protest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@mwanikih: polisi wanafanya hali hii ambayo tayari ni mbaya kuwa mbaya zaidi kwa kutumia nguvu kuwatawanya watu.
@mwanikih: cops making a bad situation worse by forcefully trying to evacuate the crowds.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bahrain iliingia kwenye vurugu kubwa zilizoambatana na polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji waliopiga kambi katika eneo muhimu la wazi linalohusudiwa sana liitwalo lulu jumatano iliyopita.
bahrain awoke to a violent crackdown by police on demonstrators camped out at the country's iconic lulu (pearl) roundabout on wednesday.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
waungaji mkono wa rais paul kagame wa rwanda wameanza kutumia nguvu ya ushawishi ya facebook, twitter na blogu ili kumsaidia kushinda uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika tarehe 9 agosti 2010.
supporters of the president paul kagame of rwanda have turned to the power of facebook, twitter and blogs to help him win presidential election that will be held on 9 august 2010.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alikuwa anamaanisha hatua ya serikali ya bahrain kutumia mabomu ya machozi ya ki-brazili kuwanyamazisha waandamanaji kwa kutumia nguvu (tahadhari, kiungo kina maudhui yenye kutisha).
he was referring to the government of bahrain's use of brazilian tear gas to violently stop protests (warning, link contains graphic content).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.