Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ya mwili
carnal
Last Update: 2019-11-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aina ya mwili
body type
Last Update: 2021-10-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anwani ya mwili
physical address
Last Update: 2019-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
juu ya mwili wangu uliokufa
over my dead body
Last Update: 2023-07-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wanaotii matakwa ya mwili hawawezi kumpendeza mungu.
so then they that are in the flesh cannot please god.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya muda mfupi, kinga ya mwili inajiunga katika kupambana na virusi.
soon, the adaptive immune response joins the fight against the virus.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huzalishwa kwa wingi bila kuonyesha makabiliano ya kinga thabiti ya mwili ya mbebaji wake.
they replicate robustly without eliciting a strong host immune response.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hao wamekwisha kata tamaa ya akhera, kama makafiri walivyo wakatia tamaa watu wa makaburini.
such men are indeed bereft of all hope of a life to come, just as those who deny the truth lying in their graves are bereft of all hopes.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bakteria hukua haraka zaidi katika halijoto ya mwili ya (37 °c).
bacteria grow much faster at body temperature (37 °c).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yeye ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.
by a new and living way, which he hath consecrated for us, through the veil, that is to say, his flesh;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadhi ya sera zinapendekezwa kama hatua nzuri ya kukabiliana na mahitaji ya afya ya akili na ya mwili kwa vijana.
some policies are suggested to better respond to the mental and overall health needs of adolescents.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. nami sasa nitawaonyesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.
but covet earnestly the best gifts: and yet shew i unto you a more excellent way.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, protini ya n ya sars-cov inaweza kusaidia virusi kukwepa makali ya kinga ya mwili.
however, the n protein of sars-cov can help the virus escape from the immune responses.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kukandamizwa kwa kinga ya mwili ni muhimu katika matibabu ya mlipuko wa saitokini, hasa kwa wagonjwa walio katika hali mbaya.
immunosuppression is essential in the treatment of cytokine storms, especially in severe patients.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kuwa yesu kristo alitimiza mapenzi ya mungu, sisi tunatakaswa dhambi zetu kwa ile dhabihu ya mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.
by the which will we are sanctified through the offering of the body of jesus christ once for all.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni kwa sababu nje ya mwili ya binadamu, virusi hivi huuliwa na sabuni ya matumizi nyumbani, ambayo hulipua povu yake ya ulinzi.
this is because outside the human body, the virus is killed by household soap, which bursts its protective bubble.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wasaidizi katika kanisa wanapaswa pia kuwa watu wenye tabia njema na wanyofu; wasiwe wanywaji mno wa divai au wenye tamaa ya fedha;
likewise must the deacons be grave, not doubletongued, not given to much wine, not greedy of filthy lucre;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mfano, antibodi zinaweza kuchochea kinga ya mwili kupita kisasi na kusababisha saitokini kuzalishwa, ambayo ina uwezekano wa kuwa na uchafu wa kutishia maisha.
for example, antibodies can overstimulate the immune response and cause cytokine release syndrome, which is potentially a life-threatening toxicity.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dalili kali mara nyingi hutokana na kuchochewa sana na kinga ya mwili kupigana kupita kiasi na mlipuko wa saitokini ambapo kinga ya mwili likiwa thabiti sana, mapafu huharibika zaidi.
the severe symptoms are mainly due to the hyperactivation of immune response and the cytokine storm wherein the stronger the immune response, the more severe the lung damage.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mlichunge lile kundi la mungu mlilokabidhiwa, mlitunze si kwa kulazimika, bali kwa hiari kama atakavyo mungu. fanyeni kazi hiyo si kwa tamaa ya fedha, bali kwa moyo wenu wote.
feed the flock of god which is among you, taking the oversight thereof, not by constraint, but willingly; not for filthy lucre, but of a ready mind;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: