Results for ulaghai translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ulaghai

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wazambia lazima kwanza waelewe kwamba ni lazima kuona umuhimu wa kura zao na wasidanganywe na maneno ya ulaghai wa wanasiasa.

English

zambians should firstly realize that they should take their vote seriously and not be swept off their feet by smooth talking politicians.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kimsingi kinachosemwa na mica ni kwamba wameipiga marufuku filamu hiyo kwa kuwa wanataka ukweli pekee ndio usemwe lakini filamu hii imejaa mambo mengi ya uongo, ulaghai na kupindishwa.

English

basically what mica is saying is they banned this film because they want only the truth to be told and this film is full of falsehoods, lies and distortions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inaonekana kuwa mpango wa amani wa umoja wa mataifa unaoonekana kuwa ni wa busara kwa somalia si chochote bali ni sehemu ya mkakati wa ulaghai ili kuiweka somalia na wa-somali katika matatizo.

English

it appears that the un-wise roadmap for somalia is nothing but part of a plan of perfidy to keep somalia and the somalis in turmoil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mtakubali kwamba sikuwa mzigo kwenu. lakini labda mtu mwingine atasema: "kwa vile paulo ni mwerevu, amewafanyieni ulaghai."

English

but be it so, i did not burden you: nevertheless, being crafty, i caught you with guile.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@gsquare86: vurumai zilizuka ndani ya hakama na umati uliimba "watu walidai uhuru wa koti elekezi" wakiimba "ulaghai" #manzayamubarak

English

@gsquare86: chaos breaks out inside court and chanting “people demand the independence of judiciary” chanting “fraud!” #mubaraktrial

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,744,794,069 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK