Results for vinavyoonekana translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

vinavyoonekana

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hivyo tunatazamia kwa makini si vitu vinavyoonekana, bali visivyoonekana. maana vinavyoonekana ni vya muda tu; lakini vile visivyoonekana ni vya milele.

English

while we look not at the things which are seen, but at the things which are not seen: for the things which are seen are temporal; but the things which are not seen are eternal.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama tunachukulia vifaa vinavyoonekana kama vile manga au sinema, sheria imetafsiri neno ukosefu wa maadili kwenye ibara hii kama kuonesha vinyweleo vya sehemu za siri, sehemu za siri za watu wazima na tendo la ngono.

English

if we consider visual material such as manga or cinema, the law has interpreted the term obscenity in this article as the exposure of pubic hair, the adult genitals and the sexual act.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana kwa njia yake vitu vyote viliumbwa duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: wenye enzi, watawala, wakuu na wenye mamlaka. vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake.

English

for by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye tukio hilo, wanaharakati walisoma barua ambayo ilitumwa na arcoiris kwenda kwa mbunge wa bunge la nchi hiyo, esteban lazo, kupinga kuondolewa kwa utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya vvu vinavyoonekana kuleta hisia ya ubaguzi katika mazingira ya kazi kwenye sheria mpya ya kazi nchini humo.

English

at the event, activists read the letter that arcoiris recently sent to esteban lazo, chairman of the country's legislature, the national assembly of people's power, in protest of the exclusion of gender identity and hiv status as motives of discrimination in the work environment in the new cuban labor code.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,712,798,136 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK