Results for walichukua translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

walichukua

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

walichukua maamuzi kwa siri tena kwenye siku ya mapumziko.

English

they took the decision in secret on a day off.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.

English

they that were foolish took their lamps, and took no oil with them:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wale wenye busara walichukua mafuta katika chupa pamoja na taa zao.

English

but the wise took oil in their vessels with their lamps.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu kadhaa walijotkeza na kumpiga vibay sana kiasi cha kupoteza fahamu na pia walichukua simu yake ya mkononi pamoja na ngamizi mpakato yake.

English

several people appeared and beat him so severely that he lost his consciousness, and they took his cell phone and laptop.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

raia watumiao mtandao walichukua muda kuanza kuzungumzia suala hili kwa kujua kuwa palikuwa na shitaka dhidi ya mhadhiri wa chuo kikuu kufuatia kile alichokuwa amekiweka kwenye ukurasa wake.

English

the netizens were slow to react on this as they know that there had been a law suit against an university teacher for his facebook status.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mbali na kuwa mapigo, mafuriko hayo yalipoisha, yaliacha udongo wenye rutuba. nao wakaazi wa vijiji walichukua fursa kuutumia udongo huo.

English

and far from being a plague, they had found an opportunity with the fertile soil after the withdrawal of water from the floods.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mjini london wanafunzi pia walichukua hatua ya mshikamano na gaza katika chuo cha uchumi cha london: zaidi ya wanafunzi 40 waliendela na kampeni yao ya kukaa chini katika chuo cha uchumi cha london leo hii ili kupinga machafuko huko gaza.

English

in london students also took action in solidarity with gaza at the prestigious london school of economics: more than 40 students were continuing their sit-in at the london school of economics today in protest at the conflict in gaza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walimtoa mwanangu mo'ath na dereva nje ya gari kisha polisi alijaribu kuchukua simu yangu, lakini mo'ath alimwambia asiniguse hata chembe walichukua zawadi na polisi alikuja katika kiti cha mbele na alimwamuru dereva kuelekea katika ofisi ya mkuu wa upelelezi huko buraidah.

English

they got my son mo'ath and the driver out of the car then a policeman tried to take my phone, but mo'ath told him to keep his hands off me they took the gifts and a policeman came in the front seat and told the driver to go to the general intelligence office in buraidah.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,744,181,569 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK