Results for wanaotafuta wachumba translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wanaotafuta wachumba

English

looking for brides

Last Update: 2022-01-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wachumba

English

he is engaged

Last Update: 2020-11-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

picha ya skrini ya tovuti inavyoonekana baada ya kuingiza neno: wachumba wa kivietnam.

English

a screen shot image of a portal site after entering a search word: vietnam brides.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii itakuwa sampuli ya damu ya ziada itakayochukuliwa kutoka kwa watu wanaotafuta huduma za kawaida kwa ajili ya vipimo vilivyoratibiwa vya damu.

English

this will be an extra blood sample taken from people who are attending their general practice for a scheduled blood test.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hali hii ya kuthamini na usimamizi, unahitaji jamii iliyo na mshikamano na yenye viongozi wawajibikaji wanaotafuta maslahi ya umma.

English

for such level of care and management you need a well-organized community and active leaders seeking common good.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nitaendelea kufanya kama ninavyofanya sasa, ili nisiwape nafasi wale wanaotafuta nafasi, nafasi ya kujivuna kwamba eti wanafanya kazi kama sisi.

English

but what i do, that i will do, that i may cut off occasion from them which desire occasion; that wherein they glory, they may be found even as we.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

-kati ya nusu na theluthi mbili ya wanawake wanaotafuta huduma za kutoa mbimba huenda kwa waganga wa kienyeji wasio na ujuzi wa kitabibu unaotakikana.

English

-between half and two thirds of women who seek abortions are going to traditional practitioners who do not have the required medical skills.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati takwa la ukomo wa mihula ya urais lilipokelewa vizuri na wananchi wengi wa afrika, bado sheria hizi katika miaka ya hivi karibuni zimekuwa zikishambuliwa na marais walioko madarakani wanaotafuta kuendelea kutawala .

English

while term limits were widely embraced by the larger african public, these rules have in recent years come under increasing attack from incumbent presidents seeking to extend their tenures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo shauku ya wawekezaji kwa ajili ya afrika, ambayo wengi wanaona kama hatua ya kufa na kupona kwa wale wanaotafuta njia mbadala ya masoko yaliyozoeleka ya barani asia, inaathiri sera za serikali za afrika ambazo zimejikita katika kuendeleza sekta zao za binafsi.

English

yet investors' enthusiasm for africa, that many see as the latest gold rush for those seeking an alternative to asian markets, has an impact on local government policies which are concerned with developing their private sectors.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini, kwa upande mwingine, wameshuhudia namna wale wanaotafuta kuibua taarifa za ufisadi uliojificha, upendeleo wa kindugu, matumizi mabaya ya madaraka na namna nyingine zinazotishia na kuathiri siasa za dunia, utawala na biashara

English

but, on the contrary, we have witnessed how those who seek to uncover hidden corruption, favoritism, abuse of power and other aspects which still devour the worlds of politics, administration and business, are put on trial and prosecuted

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kikundi hicho kinahitaji kutengeneza upya sura ya mgogoro wa somalia kama vita ya wa-somali na wageni, na sio wa-somali wanaotafuta amani na kurudi kwenye maisha ya kawaida didi ya harakati za kikatili za jihad.

English

it desperately needs to reframe the conflict in somalia as somalis versus the foreigners, not as somalis who seek peace and a return to normalcy versus a toxic jihadi movement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya watumiaji wa twita wanaripoti juu ya majengo, mitaa au taarifa nyingine za muhimu kwa wale wanaotafuta familia zao au wale wanaojaribu kusafiri ndani ya nchi hiyo. @yatalley anaandika kuwa barabara inayotoka mji mkuu, port au prince, kuelekea mji wa jacmel haipitiki.

English

some twitter users are reporting on specific buildings, streets, and other practical information for those looking for families or attempting to move throughout the country. @yatalley notes that the road from the capital, port-au-prince, to the town of jacmel is impassable:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,742,778,184 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK