Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
historia ya elimu
practical training
Last Update: 2023-04-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
historia ya malouma.
griots at the fondation malouma.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
historia ya hali ya mambo
backstory
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
taja dalili zako na historia ya kusafiri.
mention your symptoms and travel history.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
…moja ya wavuti mbaya zaidi nilizowahi kuziona.
...one of the worst websites i’ve ever seen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
harrison george anaitaja historia ya samak katika kuipinga demokrasia
harrison george points out the anti-democratic record of samak
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
si muda mrefu jiji hili taratibu litafutika kwenye historia ya dunia.
soon the city will slowly become out of sight and forgotten by history.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
historia ya usambazaji baina ya wanyama ya hcov-229e si bayana.
the interspecies transmission history of hcov-229e is less clear.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
historia ya usafiri na maelezo ya kimatibabu ya maambukizi ya covid-19
travel history and clinical descriptors of the covid-19 infections
Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii si siku ya kwanza ya giza katika historia ya india, tulijikusuru na kupigana.
it is not the first black day of indian history, we survived and fought back.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
china ina historia ya kutengeneza mvua kwa kulazimisha, hasa wakati wa kujaribu kusitisha ukame.
china has a history of artificially inducing rain, usually in cases to stop drought.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
leo ni mwaka mwingine kwenye historia ya maisha yangu ahsante wazazi wangu kwa maombi maombi yenu
today is another year in my life history thank you to my parents for your prayers.
Last Update: 2023-04-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uchaguzi wa mwaka 1992 ndio uchaguzi unaosemekana kuwa huru na haki zaidi katika historia ya uchaguzi wa naijeria.
the 1992 elections is aclaimed to be the freest and fairest election held in nigeria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
george kanyange anategemea kuwa uchaguzi wa 2009 utakuwa uchaguzi unaosisimua zaidi katika historia ya malawi:
george kanyange expects the 2009 elections to be one of the most exciting elections in the history of malawi:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ndio hukumu kubwa zaidi kwa watu wengi kuwahi kutolewa kwa wakati mmoja katika historia ya mahakama za misri.
this is the biggest mass death sentence in the history of egyptian judiciary.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akiwa amezaliwa mwaka 1981 kwenye jimbo la pwani la mombasa, nyota ndogo ametokea kwenye historia ya kinyenyekevu.
born in 1981 in the kenyan coastal province of mombasa, nyota ndogo has come from a very humble background.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
data ya kiepidimiolojia iliyofichua kwa njia ya kurudi nyuma kwamba faharasa ya kisa cha sars kilikuwa na historia ya kutangamana na wanyama wa porini.
epidemiological data revealed retrospectively that the index case of sars had a contact history with game animals.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna madai yanayohusu ustawi na uangalizi wa watoto ambayo yametolewa kama jambo la kutia hofu na mamlaka za moroko katika historia ya miaka 10 ya voh.
no charges concerning the welfare and care of the children have ever been raised as a concern by the moroccan authorities in the 10 year history of voh.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
haijawahi kutokea katika historia ya uchaguzi mkuu katika nchi yetu kutokea uchaguzi kutawaliwa na tashasha za mtu fulani badala ya tafakuri au maono ya chama kwa ajili ya nchi.
never before in the history of general elections in our country has so much been hinged on the persona of a man instead of on the ideals or vision of the party for the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pitch invasion anaangalia historia ya upigaji kelele kwenye mpira wa miguu duniani akianzia na kipiga kelele maarufu uingereza, yale manyanga au machekeche ya mbao:
pitch invasion looks at the history of noisemaking in world football starting with the first popular noisemaker in britain, the wooden rattle:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: