Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
karibu wiki moja iliyopita
about a week ago
Last Update: 2021-02-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ilianza kama wiki moja iliyopita katikati ya mji.
it all started about a week ago in the city centre.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwani ninajali?doa lile haliwezi kunikera kama ambavyo ningekereka, au ambavyo nilikereka wiki moja iliyopita.
what does it matter? the stain doesn’t revolt me as it would have, did, one week ago.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hajapata hata likizo ya wiki moja kutoka gerezani kuja nyumbani ...
he had not got even one week vacation out of prison to come home...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vyuo vikuu vimefungwa kwa wiki moja, lakini ikaendelea na masomo mtandaoni baadaye.
universities have closed for one week, but resumed with online teaching afterwards.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika muda wa wiki moja amepata "matokeo makubwa na ya kutia moyo kabisa."
within a week, she was receiving "a really huge and positive response."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wiki moja baadaye, usamah aliandika mfululizo wa twiti fupifupi akielezea hali iliyokuwepo wakati wa kukamatwa kwake.
a week later, usamah wrote a series of short tweets narrating the conditions of his arrest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatimaye familia ipo huru, lakini sean yeye alikamatwa na na kushikiliwa kwenye gereza moja nchini syria kwa muda wa wiki moja.
eventually the family is freed, but sean himself is arrested and held in a syrian jail for a week.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku moja, wiki moja kabla ya kukamatwa kwake, abel alivamiwa na kupigwa wakati akielekea nyumbani alipokuwa akitoka kazini.
one day, three weeks before the arrest, abel was beaten as he was walking home from work.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kijumla, muda kati ya kuambukizwa na kujitokeza kwa virusi hivi ni chini ya wiki moja na, ukifuatwa na ugonjwa wa takriban wiki 2.
generally, the incubation time of these two viruses is less than one week, followed by an approximately 2-week illness.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wanachama wa programu hiyo pia wamekuwa wakishiriki katika mradi wa video ya dakika moja, ambao kwao wanajifunza kuhusu uanaharakati wa video wakati wa warsha ya wiki moja.
the members of their program have also been participating in the one minute video project, where they learn about video activism during a one-week workshop.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na mwisho wa mwezi wa matukio ya haraka haraka, pamoja na kuahirishwa kwa wiki moja, zaidi ya wanaijeria milioni 73 walishiriki kwa hiari katika zoezi hili adili.
at the end of one month of frantic activity, including a week’s extension, over 73 million gallant nigerians had voluntarily participated in the noble cause.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini pia kuna sababu ya matumaini katika brazil kwani inapokuja kwenye uwazi na utawala wazi, kama alivyoeleza paula goes wiki moja kabla ya siku ya kupinga rushwa duniani:
but there is also reason for optimism in brazil when it comes to transparency and open governance, as paula goés explained a week before anti-corruption day:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika jijini melbourne, jarida la jom, linalohudumia jumuiya ya malaysia, ilitengeneza video juu ya siku ya kupiga kura kwa njia ya posta, uliofanyika wiki moja kabla ya mei 5.
in melbourne, jom magazine, a magazine that caters to the malaysian community, made a video about the postal voting day, which was held a week before may 5.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
“hii ni dharura kwani hakuna msaada wowote wa kibinaadamu ambo umeweza kuwafikia wale wanaouhitaji kwa zaidi ya wiki moja’” alisema mkurugenzi wa mipango, pierre krähenbühl.
“this is all the more urgent since no humanitarian aid has reached those who need it for over a week,” said director of operations, pierre krähenbühl.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
harakati hizi zinakuja kufuatia mfululizo wa maandamano dhidi ya serikali kutokana na kupungua kwa haraka kwa thamani ya fedha ya ghana kwani serikali iliongeza vikwazo katika taratibu za fedha za kigeni na mwezi uliopita ikavilegeza tena, hali iliyopelekea kupungua kwa nishati na hivyo kusababisha misururu mirefu ya watu katika vituo vya mafuta, hali iliyodumu kwa takribani wiki moja.
this comes in the wake of a series of backlashes against the government for the fast depreciation of the cedi since it tightened the country's foreign currency rules and eased them last month, and the shortage of fuel that led to long queues at petrol stations for about a week.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ikiwa imebaki wiki moja tu kuelekea kwenye uchaguzi wa rais nchini macedonia, mgombea urais ambaye ndiye rais wa sasa gjorge ivanov alisababisha mjadala makali kwenye mitandao ya kijamii baada ya mgombea huyo 'kuchemka' kwenye mjadala wake wa kwanza wa kampeni za urais..
one week ahead of macedonia's presidential elections, incumbent candidate president gjorge ivanov provoked widespread discussion among macedonian social media users by making a series of gaffes in his first campaign interview.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: