Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwanza maandamano kwa ajili ya uhuru wa kiuchumi, yaliyoongozwa na julius malema, wakati alipokuwa hajachoka sana na akipumzika ndani ya gari lake la kifahari .
first the march for economic freedom, well that was lead by julius malema, when he wasn't too tired and taking a break in his chauffeur driven beamer .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
imepita miaka nane, siku mia tatu na ushee tangu mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu yaliyoongozwa na jenerali wa jeshi la pakistani yalipofanyika na hivyo kumpokonya madaraka kiongozi fisadi nawaz sharif.
eight years, three hundred and five days ago a peaceful coup masterminded by a pakistani army general overtook the reigns of power from the then ruling corrupt leader nawaz sharif.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alhamisi februari 18 mapinduzi ya kijeshi yalifanyika nchini niger ambayo kwayo rais mamadou tandja alikamatwa baada ya mapambano ya bunduki katika mji mkuu, niamey, yaliyoongozwa na kanali abdoulaye adamou harouna (amabaye alikuwa mpambe wa aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi yaliyopita meja daouda mallam wanke).
on thursday, february 18th a coup took place in niger in which president mamadou tandja was captured after a gun battle in the capital, niamey, led by led by col. abdoulaye adamou harouna (who was was the former aide-de-camp of niger's previous coup leader maj. daouda mallam wanke).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: