Results for kufikiri translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

kufikiri

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

ninaendelea tu kufikiri kuhusu shahbag.

French

je pense toujours à shahbag.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siwezi kufikiri itakavyokuwa wakati wa kuwanyonga watu 529.

French

on n'arrive pas à imaginer comment on pourrait même pendre 529 personnes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namna hivi mwenyezi mungu anakubainishieni aya zake mpate kufikiri--

French

ainsi, allah vous explique ses versets afin que vous méditiez

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi ndivyo mwenyezi mungu anavyo kubainishieni ishara ili mpate kufikiri.

French

ainsi allah vous explique les signes afin que vous méditiez!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili hilo liwezekane, inabidi zana hiyo iwe rahisi sana, isiyohitaji kufikiri sana.

French

il faut que ce soit une action simple, un outil ne demandant pas de réflexion à l’utilisation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukitaka kupima uwezo wako wa kufikiri soma kumbukumbu zako za awali na ufanye tathmini

French

Last Update: 2021-04-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kumekuwa na majadiliano ya #ebolachat kuhusu masuala mengi kuliko unavyoweza kufikiri

French

il y a des sessions #ebolachat sur tous les sujets possibles et imaginables.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya walimu wa sheria wakaanza kufikiri, "mtu huyu anamkufuru mungu!"

French

sur quoi, quelques scribes dirent au dedans d`eux: cet homme blasphème.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ni vigumu kufikiri kuhusu yale yanayopita kwenye vichwa vya wanaharakati kama irene, hasa pale anapowawaza watoto wake.

French

il est difficile d'imaginer ce qui se passe dans la tête d'une activiste comme irène, lorsqu'elle pense à ses enfants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

chadapornlin: ni huzuni kwa kifo cha samak kwamba najaribu kufikiri mambo mema ya kumkumbuka nayo kwa hisani lakini siwezi

French

chadapornlin: c'est triste, j'essaie de me souvenir de bonnes choses au sujet de samak puisqu'il est mort, par politesse, mais je n'y arrive pas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naanza kufikiri kuwa serikali ya marekani ilimtumia clinton wa uongo, kwa sababu yule mwanamke anaonekana mzee sana na jimama kuwa clinton wa kweli.

French

je commence à penser que l'etat américain nous a envoyé une fausse hillary, parce que cette femme semble trop vieille et maternelle pour être hillary!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katibu wa baraza la mawaziri naye anaambatana na mimi na hata baadhi ya mawaziri na maafisa wa ikulu hawaendi kuniliwaza, ila kunisaidia kufikiri uteuzi ninaoufanya.

French

le chef de cabinet ainsi que certains de mes ministres et les fonctionnaires du gouvernement ne me suivront pas pour me soigner, mais pour m'aider dans mes rendez-vous.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni vigumu kufikiri mhariri mtendaji angeruhusu "blanda" hiyo kuonekana kwenye makala inayohusu mtoto wa kimagharibi aliyeathirika na udhalilishaji.

French

difficile d’imaginer un rédacteur en chef, quel qu’il soit, laisser une telle «bavure» se produire dans un article concernant une victime occidentale de pédophilie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pale inapokuwa vigumu kuhakikisha usalama wa mabinti zetu katika nyumba zetu wenyewe, suala la kufikiri kuhusu asilimia 25.7 ya wasichana wanaoishi mitaani kwa hakika ni la kuogofya sana.

French

lorsqu'il est difficile d'assurer la sécurité de ses filles dans sa propre maison, il est littéralement terrifiant de penser que 25.7% des filles vivent dans les rues.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

walimu na wahadhiri katika shule zetu za sekondari na vyuo vikuu wanashuhudia mwenendo wa mambo unaoonyesha kuwa wanafunzi wa shule binafsi wanazungumza kiingereza fasaha, lakini uwezo wao wa kufikiri, kuandika na uwezo wa kufanya mahesabu uko chini.

French

les professeurs et maîtres de conférence dans le secondaire et le supérieur observent une tendance qu'ont les élèves issus d'écoles privées à parler un anglais parfait, mais à avoir des capacités de raisonnement, d'écriture et de résolution de problèmes peu développées.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"au, ni mfalme gani ambaye, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, hataketi kwanza chini na kufikiri kama ataweza, kwa askari wake elfu ishirini?

French

ou quel roi, s`il va faire la guerre à un autre roi, ne s`assied d`abord pour examiner s`il peut, avec dix mille hommes, marcher à la rencontre de celui qui vient l`attaquer avec vingt mille?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

banda aliwapa changamoto wananchi kufikiri kwa kina kuhusiana na sherehe hizi, , akihoji kama siku ya uhuru inasherehekewa kwa kupitisha muda tu, aukwa mafanikio ya nchi tangu kupatikana kwa uhuru miaka 50 iliyopita, mwaka ambao rhodesia kaskazini ilipojibadilisha kuwa jamhuri ya zambia.

French

m. banda a invité les citoyens à réfléchir un peu plus à propos de la fête, à savoir si à l'anniversaire de l'indépendance on célébrait un simple écoulement du temps, ou les réalisations du pays depuis cette chaude nuit d'été d'il y a 50 ans, lorsque la rhodésie du nord est devenue la république de zambie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ikiwa… bruce golding… ana uwezo kidogo wa kufikiri angetoa tamko kuwa jumatatu iwe sikukuu ya kitaifa nchini jamaika, na angeubatiza mtaa wa knutsford boulevard, kama barabara kuu ya usain bolt na angeamuru kuwa agosti 16 ni siku ya usain bolt.

French

si…bruce golding…a de la jugeotte, il devrait déclarer ce lundi jour férié national à la jamaïque, rebaptiser le boulevard knutsford "voie rapide usain bolt" et instituer un "jour usain bolt" les 16 août.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,748,645,134 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK