From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hakika mwenyezi mungu atawaingiza walio amini na wakatenda mema katika bustani zipitiwazo na mito kati yake. watapambwa humo kwa mapambo ya mikononi ya dhahabu na lulu.
本当にアッラーは,信仰して善行に励む(外の一団の)者を,川が下を流れる楽園に入らせられる。かれらはそこで,黄金の腕輪と真珠に飾られ,衣装はそこでは絹(ずくめ)であろう。
kulikuwa na duara la viti ishirini na vinne kukizunguka kiti cha enzi, na juu ya viti hivyo wazee ishirini na wanne walikuwa wameketi wamevaa mavazi meupe na taji za dhahabu vichwani.
また、御座のまわりには二十四の座があって、二十四人の長老が白い衣を身にまとい、頭に金の冠をかぶって、それらの座についていた。
kisha petro akamwambia, "sina fedha wala dhahabu lakini kile nilicho nacho nitakupa. kwa jina la yesu kristo wa nazareti, tembea!"
ペテロが言った、「金銀はわたしには無い。しかし、わたしにあるものをあげよう。ナザレ人イエス・キリストの名によって歩きなさい」。
nakushauri ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto upate kuwa tajiri kweli. tena afadhali ununue pia vazi jeupe, uvae na kufunika aibu ya uchi wako. nunua pia mafuta ukapake machoni pako upate kuona.
そこで、あなたに勧める。富む者となるために、わたしから火で精錬された金を買い、また、あなたの裸の恥をさらさないため身に着けるように、白い衣を買いなさい。また、見えるようになるため、目にぬる目薬を買いなさい。
hakika wale walio kufuru, na wakafa hali ni makafiri haitakubaliwa kutoka kwa yeyote wao fidia ya dhahabu ya kujaza dunia nzima lau wangeli itoa. hao watapata adhabu chungu, wala hawatakuwa na wa kuwanusuru.
信仰を拒否する不信者として死ぬ者は,仮令大地に満ちる程の黄金でその罪を償おうとしても,決して受け入れられない。これらの者には痛ましい懲罰があり,助ける者もな
hali kadhalika, nawataka wanawake wawe wanyofu na wenye busara kuhusu mavazi yao; wavae sawasawa na si kwa urembo wa mitindo ya kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,
また、女はつつましい身なりをし、適度に慎み深く身を飾るべきであって、髪を編んだり、金や真珠をつけたり、高価な着物を着たりしてはいけない。
hao watapata bustani za milele, zinazo pita mito kati yake. humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi.
これらの者にはアドン(エデン)の園があろう。川が下を流れ,そこで黄金の腕輪で身を飾り,美しい緑色の絹の長い衣や,厚い錦を装い,高座にゆったりと身を託す。何と幸福な恵み。何とよい臥所よ。
hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia njia ya mwenyezi mungu. na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika njia ya mwenyezi mungu, wabashirie khabari ya adhabu iliyo chungu.
あなたがた信仰する者たちよ,律法学者や修道士の多くは偽って人びとの財産を貪り,(かれらを)アッラーの道から妨げている。また金や銀を蓄えて,それをアッラーの道のために施さない者もいる。かれらに痛ましい懲罰を告げてやれ。