Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
fanya bidii kuja kwangu karibuni.
festina venire ad me cit
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nami nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila mmoja kwangu."
et ego si exaltatus fuero a terra omnia traham ad me ipsu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawaambieni yale atakayopata kutoka kwangu.
ille me clarificabit quia de meo accipiet et adnuntiabit vobi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, ninyi hamtaki kuja kwangu ili mpate uzima.
et non vultis venire ad me ut vitam habeati
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na mfungwa wa dhambi!"
in felle enim amaritudinis et obligatione iniquitatis video te ess
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
venite ad me omnes qui laboratis et onerati estis et ego reficiam vo
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nami nikafa. hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.
ego autem mortuus sum et inventum est mihi mandatum quod erat ad vitam hoc esse ad morte
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, nitajitahidi kuwapatieni njia ya kuyakumbuka mambo haya kila wakati, baada ya kufariki kwangu.
dabo autem operam et frequenter habere vos post obitum meum ut horum memoriam faciati
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ghafla, watu watatu waliokuwa wametumwa kwangu kutoka kaisarea waliwasili kwenye nyumba niliyokuwa nakaa.
et ecce confestim tres viri adstiterunt in domo in qua eram missi a caesarea ad m
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sitasema nanyi tena mambo mengi, maana mtawala wa ulimwengu huu anakuja. kwangu mimi hawezi kitu;
iam non multa loquar vobiscum venit enim princeps mundi huius et in me non habet quicqua
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo hujisemea: nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka. lakini anaporudi na kuikuta tupu, imefagiwa na kupambwa,
tunc dicit revertar in domum meam unde exivi et veniens invenit vacantem scopis mundatam et ornata
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.
tollite iugum meum super vos et discite a me quia mitis sum et humilis corde et invenietis requiem animabus vestri
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kutoka kwangu mimi paulo, mtumishi wa kristo yesu, na mtume niliyeteuliwa na kuitwa kwa ajili ya kuhubiri habari njema ya mungu.
paulus servus christi iesu vocatus apostolus segregatus in evangelium de
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo mtu yeyote asimdharau, ila msaidieni aendelee na safari yake kwa amani ili aweze kurudi kwangu, maana mimi namngojea pamoja na ndugu zetu.
ne quis ergo illum spernat deducite autem illum in pace ut veniat ad me expecto enim illum cum fratribu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
wala si mimi tu, bali hata herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.
sed neque herodes nam remisi vos ad illum et ecce nihil dignum morte actum est e
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini, mimi sikutumia hata mojawapo ya haki hizo. na wala siandiki nijipatie haki hizo; kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kumfanya yeyote aone kwamba najisifu bure.
ego autem nullo horum usus sum non scripsi autem haec ut ita fiant in me bonum est enim mihi magis mori quam ut gloriam meam quis evacue
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kama ningetaka kujivuna singekuwa mpumbavu hata kidogo, maana ningekuwa nasema ukweli mtupu. lakini sitajivuna; sipendi mtu anifikirie zaidi ya vile anavyoona na kusikia kutoka kwangu.
nam et si voluero gloriari non ero insipiens veritatem enim dicam parco autem ne quis in me existimet supra id quod videt me aut audit ex m
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipoona hivyo, alikasirika akawaambia, "waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa mungu ni kwa ajili ya watu walio kama watoto hawa.
quos cum videret iesus indigne tulit et ait illis sinite parvulos venire ad me et ne prohibueritis eos talium est enim regnum de
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: mimi paulo nitalipa! (tena sina haja ya kusema kwamba wewe unalo deni kwangu la nafsi yako.)
ego paulus scripsi mea manu ego reddam ut non dicam tibi quod et te ipsum mihi debe
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
naye yoshua aitwaye yusto, anawasalimuni. miongoni mwa wayahudi waliokwisha pokea imani, hawa tu peke yao, ndio wanaofanya kazi pamoja nami kwa ajili ya utawala wa mungu; nao wamekuwa msaada mkubwa kwangu.
et iesus qui dicitur iustus qui sunt ex circumcisione hii soli sunt adiutores in regno dei qui mihi fuerunt solaci
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: